'tooth ache'

'tooth ache'

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
tooth ache can realy be a pain i the a**. tangu juzi jino lilikua linanipa shida kias kwamba hata kulala ilikua haiwezekani usiku. but nika invent a relief method ambayo wengi hawataamini but actually it works. mkojo (urine) can realy help to reduce the pain of tooth. simply weka mkojo wako ktk chombo flan or kichupa then unafanya kama unasukutua but humezi unautema. do this and u wont believe how it helps!
 
He! Naungana na mdau wa pili hapo katika kushangaa.

Una asili ya kihindi ndugu yangu? Samahani kama nimeudhi baadhi maana nimeshawahi kusikia mara kadhaa kama kuna baadhi huwa wanakunywa kama dawa.
 
tooth ache can realy be a pain i the a**. Tangu juzi jino lilikua linanipa shida kias kwamba hata kulala ilikua haiwezekani usiku. But nika invent a relief method ambayo wengi hawataamini but actually it works. Mkojo (urine) can realy help to reduce the pain of tooth. Simply weka mkojo wako ktk chombo flan or kichupa then unafanya kama unasukutua but humezi unautema. Do this and u wont believe how it helps!

ni kweli mkuu.
 
tooth ache can realy be a pain i the a**. tangu juzi jino lilikua linanipa shida kias kwamba hata kulala ilikua haiwezekani usiku. but nika invent a relief method ambayo wengi hawataamini but actually it works. mkojo (urine) can realy help to reduce the pain of tooth. simply weka mkojo wako ktk chombo flan or kichupa then unafanya kama unasukutua but humezi unautema. do this and u wont believe how it helps!

hii kweli ni NEWS ALERT!
 
Hii ilifaa kuitwa Breaking news.
ha ha ha
OTIS
 
Kwa ukweli jaribu kwa dharura na kama kweli utatizo na jino tumia Mchalaka(kilugulu), mchalaka (kisambaa/kizigua) Spirostachys africana (kisayansi)

Matibabu yake

Chukua kiini cha mcharaka/mchalaka (xylem) (kile cha ndani mara nyingi huwa cheusi) chemsha na maji lita moja kwa muda dakika 20-30 au chini ya hapo kama moto ni mkubwa
Matumizi
Tumia kupigia mswaki asubuhi na jioni kwa muda wa wiki moja
NB
Dawa kwa muda wa siku mbili na chemsha nyingine

Kama mti huo unapatikana kirahisi maana unapaktikana katika maeneo ya uwanda wa chini (Low land trees)
 
ABOMINATION!!
necessity is surely the mother of invention..tutakunywa na visivyo nyweka jamani!
 
usibishe kitu usichokijua. unajua urine therapy wewe? dah, kweli mwafrika mwafrika tu.
 
tooth ache can realy be a pain i the a**. tangu juzi jino lilikua linanipa shida kias kwamba hata kulala ilikua haiwezekani usiku. but nika invent a relief method ambayo wengi hawataamini but actually it works. mkojo (urine) can realy help to reduce the pain of tooth. simply weka mkojo wako ktk chombo flan or kichupa then unafanya kama unasukutua but humezi unautema. do this and u wont believe how it helps!
Mwenzio hapa naenda ng'oa jino sijalala sikumbili mfululizo
 
Back
Top Bottom