Top 10 African countries with the most internet users

Top 10 African countries with the most internet users

Arnold mrass cannambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
4,067
Reaction score
2,640
This video rank 15igehst African countries with a number of internet users. Internet users are defined as persons who accessed the Internet in the last 12 months from any device, including mobile phones. Estimates are derived from either household surveys or from Internet subscription data. Internet users compare the number of users within a country that access the Internet. Statistics vary from country to country and may include users who access the Internet at least several times a week to those who access it only once within a period of several months.

Source: macro trends, internetworldstats
 
Hongera zetu mazee tuko vizuriii! Waswahili bado wanapiga ramli!
 
yaani hapa tunampumulia sauzii.. yaaani ze bondeni!! 😂 waswahilii chaliiiii, na ujamaa wao!
 
Mimi nafurahi jinsi battle imehamia kwenye vitu cheap kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Stendi ya basi sio kipau mbele cha maendeleo, yaani we jamaa, nilikuwa nakuheshimu, lakini leo ndio nimegundua kumbe ni Bonge la mshamba sijawahi pata kuona tangu dunia hii iumbwe
kwamba nini unasemaa[emoji23][emoji23][emoji23].

Inawezakuwa si kipaumbele ila ikawa ishara ya maendeleo,hapa ndipo tunatofautisha uchumi na GDP[emoji23][emoji23].

Mko na GDP wengine wako na uchumi.
 
Haya mambo si unafungua tu akaunti huko mtandaoni na ku post upupu wowote tu baada ya kushiba!? Au katumia vigezo gani kupata hizo ranks?
 
Haya mambo mim huwa siya amini mfn angalia wasanii wakenya mtandaoni alafu angalia bongo utagundua kitu kenya kwenye swala la internet mpo nyuma yaan wasanii wa Kenya ndo wanaongoza kwa kutokuwa na views na followers wengi EA.

Alaf kitu cha pili tafta interview waliofanya saut soul WASAFItv waliulzwa kwanin Kenya mtandao hauja changamka kama bongo walicho jibu kaangalie.
 
kwamba nini unasemaa[emoji23][emoji23][emoji23].

inawezakuwa si kipaumbele ila ikawa ishara ya maendeleo,hapa ndipo tunatofautisha uchumi na GDP[emoji23][emoji23].

mko na GDP wengine wako na uchumi.
Nipe tofauti ya uchumu na GDP[emoji23][emoji23]
 
Nipe tofauti ya uchumu na GDP[emoji23][emoji23]
GDP ni pato la taifa kwa mwaka. Uchumi thamani ya biashara ya nchi husika.

Ukitaka kujua nchi yenye GDP ni kenya,na nchi zenye uchumi ni kama tz.
 
Tz will never rank beyond Senegal, Cameroon and the likes.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata shule unatakiwa kusoma ili ufaulu sio umzidi fulani,kama na wao wataendelea kufanya vyema tatizo liko wapi!!!.

huko kenya ndio watu wana GDP kubwa sana ila haieleweki ina act vip kwenye maisha ya watu,maana ni huruma.
 
kwamba nini unasemaa[emoji23][emoji23][emoji23].

inawezakuwa si kipaumbele ila ikawa ishara ya maendeleo,hapa ndipo tunatofautisha uchumi na GDP[emoji23][emoji23].

mko na GDP wengine wako na uchumi.
Option nyingine ya Travel Ni gani ispokuwa mabasi?
Hapa Kenya Kuna Railway, Air and road transport na usisahau Bongo watu sio wengi wako na magari ya kibinafsi. Bus stands Ni teknologia ya 80s bana.
Mimi nina vifaa vitatu viko na internet. Naomba kujua wanahesabika watu wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Vimejumuishwa kwa data ya Tz
Tz will never rank beyond Senegal, Cameroon and the likes.
Kweli bro hata kwa hili la barabara hamwezi kuwa ranked na wao kabisa...wamewapiku kwa hili
 
Option nyingine ya Travel Ni gani ispokuwa mabasi?
Hapa Kenya Kuna Railway, Air and road transport na usisahau Bongo watu sio wengi wako na magari ya kibinafsi. Bus stands Ni teknologia ya 80s bana.

Vimejumuishwa kwa data ya Tz

Kweli bro hata kwa hili la barabara hamwezi kuwa ranked na wao kabisa, wamewapiku kwa hili
Kwamba mna private car, planes, boats, trains za kutosha kiasi cha buses kukosa umuhimu![emoji23][emoji23][emoji23],wewe huwa unafikiri kwa kutumia nini jamaa yangu?

Ulikuwa hujazaliwa 2018 mgomo wa madereva hapo cbd? Mbona hamkufuata private cars zenyu madereva wa matatu's wafe njaa!!!!
 
Option nyingine ya Travel ni gani ispokuwa mabasi?

Hapa Kenya Kuna Railway, Air and road transport na usisahau Bongo watu sio wengi wako na magari ya kibinafsi. Bus stands Ni teknologia ya 80s bana.

Vimejumuishwa kwa data ya Tz

Kweli bro hata kwa hili la barabara hamwezi kuwa ranked na wao kabisa, wamewapiku kwa hili

Sijaicheki hiyo video ila swap Cameroon/Senegal for Kenya kwenye post yangu ya awali.
 
Back
Top Bottom