mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Umeona tz ilitoka kabisa kwenye row,ghafla imeibuka na kupanda kwa kasi sana miaka hiyo 6 hapo!!!![emoji23][emoji23][emoji23]Kutokana na population yetu hao watu kidogo mno. Ilibidi tuwe juu zaidi
Bado kuna maajabu mengi sana watu wanatakiwa wayaone katika kipindi cha miaka hii 10-20.