Umeona tz ilitoka kabisa kwenye row,ghafla imeibuka na kupanda kwa kasi sana miaka hiyo 6 hapo!!!![emoji23][emoji23][emoji23]Kutokana na population yetu hao watu kidogo mno. Ilibidi tuwe juu zaidi
Una akili kweli? 90% ya hizo views ni kutoka Kenyahaya mambo mim huwa siya amini mfn angalia wasanii wakenya mtandaon alaf angalia bongo utagundua kitu kenya kwenye swala la internet mpo nyuma yaan wasanii wa kenya ndo wanaongoza kwa kutokuwa na views na followers wengi EA.
Alaf kitu cha pili tafta interview waliofanya saut soul WASAFItv waliulzwa kwanin kenya mtandao hauja changamka kama bongo walicho jibu kaangalie.
Unaongea nin wewe hivi unashirikiana na ubongo wako kweli wewe? Au unajiamlia tu kuongea. Sasa kama 90% zinatoka kenya mbona wqsanii wenu hawapati hao followers au viewers ambao wapo Kenya, na vp kuhusu wasanii ambao sio wakubwa wanakuwa na funs wengi uki compare na huko Kunya na hao wanakuwa hawajajulkana nje ya TzUna akili kweli? 90% ya hizo views ni kutoka Kenya
Pima pima pima pima pima pimaaaHii ndio maana ya middle income, usitajwe tu kwa jina (huku ukiteseka kwa umaskini) ila onyesha kwa vitendo pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]akikujibu niite.Unaongea nin wewe hivi unashirikiana na ubongo wako kweli wewe? au unajiamlia tu kuongea. Sasa kama 90% zinatoka kenya mbona wqsanii wenu hawapati hao followers au viewers ambao wapo kenya, na vp kuhusu wasanii ambao sio wakubwa wanakuwa na funs wengi uki compare na huko Kunya na hao wanakuwa hawajajulkana nje ya Tz
alaf nenda katafute interview ya saut soul walio ifanya wasafi tv ndo uje tujibizane
Cheki video Kwanza usiwe muoga wa ukweli.Sijaicheki hiyo video ila swap Cameroon/Senegal for Kenya kwenye post yangu ya awali.
1.Nikitaka kwenda Coast/pwani natumia SGR.kwamba mna private car,planes,boats,trains za kutosha kiasi cha buses kukosa umuhimu!!!!![emoji23][emoji23][emoji23],wewe huwa unafikiri kwa kutumia nini jamaa yangu???
ulikuwa hujazaliwa 2018 mgomo wa madereva hapo cbd???mbona hamkufuata private cars zenyu madereva wa matatu's wafe njaa!!!!
jinsi unajitahidi kuikataa ngori hii1.Nikitaka kwenda Coast/pwani natumia SGR.
2.Nikitaka kwenda Kisumu natumia MGR.
3.Nikitaka kwenda Nyeri natumia MGR.
4.Within Nairobi natumia Uber.
5.Nikitaka kufika Turkana ndege ksh6000 imenitosha round trip tena.
Mabasi Ni ya kuunga unga tu hapa na pale soon bus trips zitakuwa maybe za kutalii. Ndio maana nasema Tz iko in the 80s [emoji16]
Acha uongo wewe ustufanye majuha humu ndani. Ati Kenya mabasi sio muhimu! Unafikiri Kenya hatujui?1.Nikitaka kwenda Coast/pwani natumia SGR.
2.Nikitaka kwenda Kisumu natumia MGR.
3.Nikitaka kwenda Nyeri natumia MGR.
4.Within Nairobi natumia Uber.
5.Nikitaka kufika Turkana ndege ksh6000 imenitosha round trip tena.
Mabasi Ni ya kuunga unga tu hapa na pale soon bus trips zitakuwa maybe za kutalii. Ndio maana nasema Tz iko in the 80s [emoji16]
Umekuwa wapi Kenya?Acha uongo wewe ustufanye majuha humu ndani. Ati Kenya mabasi sio muhimu! Unafikiri Kenya hatujui?
Hawez[emoji23][emoji23][emoji23]akikujibu niite.
Khaa!!![emoji23][emoji23][emoji23]GDP ni pato la taifa kwa mwaka.
Uchumi thamani ya biashara ya nchi husika.
ukitaka kujua nchi yenye GDP ni kenya,na nchi zenye uchumi ni kama tz.
wewe kapike bana.Khaa!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hyo GDP unajua maana yake kweli[emoji23][emoji23]
Jamani, jomba hemu niache sitaki kupoteza mda
Uletewe data[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba mna private car,planes,boats,trains za kutosha kiasi cha buses kukosa umuhimu!!!!![emoji23][emoji23][emoji23],wewe huwa unafikiri kwa kutumia nini jamaa yangu???
ulikuwa hujazaliwa 2018 mgomo wa madereva hapo cbd???mbona hamkufuata private cars zenyu madereva wa matatu's wafe njaa!!!!
leta data zikionyesha kwamba wakazi wa nairobi hawatumii buses bali private cars.Uletewe data[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unakwepa[emoji23][emoji23][emoji23]leta data zikionyesha kwamba wakazi wa nairobi hawatumii buses bali private cars.
leta data.Mbna unakwepa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mada iishe tu, manake haswaa[emoji23][emoji23]wewe kapike bana.
Umekuwa wapi Kenya??Acha uongo wewe ustufanye majuha humu ndani. Ati Kenya mabasi sio muhimu! Unafikiri Kenya hatujui?
Hela ya unga inakupiga tobo ndio ukapande uber?[emoji23] [emoji23]1.Nikitaka kwenda Coast/pwani natumia SGR.
2.Nikitaka kwenda Kisumu natumia MGR.
3.Nikitaka kwenda Nyeri natumia MGR.
4.Within Nairobi natumia Uber.
5.Nikitaka kufika Turkana ndege ksh6000 imenitosha round trip tena.
Mabasi Ni ya kuunga unga tu hapa na pale soon bus trips zitakuwa maybe za kutalii. Ndio maana nasema Tz iko in the 80s [emoji16]
Ati 2018 kulikuwa na mgomo hujui kuwa Dar Kila siku Ni Kama kuna mgomo
View attachment 1504462View attachment 1504463View attachment 1504464