Top 10 football players of all time

- Maradonna ni number 1.
- Alafu unautukana kabisa mchezo wa Football kumuingiza Ronaldo kwenye List kama hiyo mbele ya (Romario, Ronaldo De lima, Zidani, Rui Costa, Futre, Laudrap, Platini, Zico, Ronaldinho, Kaka)
Assume that it is 2100 and Ronaldo has retired...people of that generation won't see Cristiano on the pitch but they'll just check on records..are you expecting that the same statement you've just say will be discussed by the people during that time???
 
1- 5 ipo sawa kabisa 6 - 10 vyovyote tu sawa
 
Huyo pelle sina imani nae,,,angecheza kipindi hiki cha wakorofi kama kina ramos nadhan asingemfikia hata adebayor
Hakuna kipya kwenye football mkuu yote haya yalishafanyika zamani sana
 
Mimi naendelea kukaataa sifa anazopewa pelle mkuu,hata video clips za pele bado sijawahi kuzielewa,kawaida sana


Maradonna ni hatari zaidi
Siwezi kumtetea sana maana sijawahi kumfatilia kwa undani zaidi
 
Huyo pelle sina imani nae,,,angecheza kipindi hiki cha wakorofi kama kina ramos nadhan asingemfikia hata adebayor
wacha kufananisha wachezaji wa zamani na wa sasa..huyo Ramos badala aumie Pele angeumia yy
 

Kwaiyo records na statistic ndio uwezo wa mchezaji? Mbona umetuekea Cruyff na Beckenbauer hapo labda ungelitupa record zao nao pia.

Records nyingi ambazo Ronaldo na Messi wamezivunja zilikua zikishikiliwa na (Muller, Raul, Zara) labda ungetwambia nani kati ya hao amewahi kuhusisha na uchezaji bora achilia wa all time alau wa mda wake tu aliokua akicheza.
Mpira umegeuzwa kuwa mchezo wa ajabu kabisa. score more and you become the best.

Maradanno na hakua akisifika kwa kufunga, alikua akisifika kwa kucheza mpira na ukubwa wa skills zake alizokua nazo.
Ukizungumzia kama football inaamuliwa kwa records na statistics hata Henry basi ni zaidi ya Zidane.

Anayoweza kuyafanya Iniesta ndani ya uwanja Ronaldo ataishia kuyatumbulia macho tu.
 
charity starts at home !!!!,wapi Omari bin Jabir Mahadhi,Athumani Mambosasa,Omary Zimbwe,L.Tenga,J.Mtagwa,M.Richard,A.Ally,T.Ally ETC ETC ETC ......
 
Pele
Maradona
Messi
Ronaldinho
.
.
.
.

Ungeanza hiv usingekua na upinzan mwng na ungeonekana una busara kwa kias chake
 
Mkuu una simu nadhani sina haja ya kuweka mambo mengi hapa fungua Google ucheki hao watu...
mm si shabiki wa Madrid ila naona unaekoenda sio... Iniesta vs Ronaldo kwanza position tofaut...hv unamjua Cristiano ktk ubora wake ww??...punguza ushabiki...
weka records za zidane na henry hapa tuone..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…