makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kakurupuka huyo!!Siku nyingine kuwa makini..View attachment 789589View attachment 789590
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakurupuka huyo!!Siku nyingine kuwa makini..View attachment 789589View attachment 789590
Mkuu huo ukorofi wa kina ramos ni cha mtoto, wakina pele wamecheza mpira katika mazingira magumu, sheria zilikuwa si nzur kidogo, miundombinu mibovu, pele kacheza katika viwanja vingine vibovu kama mkwakwani tanga lakini alikuwa anaudananda vizur hawa wa siku hizi vitu vingi safi kuanzia sheria mpaka miundo mbinu, man u waliulalamikia uwanja wa rostiv kuwa ni mbovu..Huyo pelle sina imani nae,,,angecheza kipindi hiki cha wakorofi kama kina ramos nadhan asingemfikia hata adebayor
Kwani kipi kwako ni kigezo cha mchezaji bora, kipaji, mafanikio ama kitu gani.. Rui costa alikuwa mchezaji mzuri kweli lakini ndio tumuweke katika list ya kina pele na maradona[emoji23] [emoji23]- Maradonna ni number 1.
- Alafu unautukana kabisa mchezo wa Football kumuingiza Ronaldo kwenye List kama hiyo mbele ya (Romario, Ronaldo De lima, Zidani, Rui Costa, Futre, Laudrap, Platini, Zico, Ronaldinho, Kaka)
Hawa watu wanachekesha sana...Kwani kipi kwako ni kigezo cha mchezaji bora, kipaji, mafanikio ama kitu gani.. Rui costa alikuwa mchezaji mzuri kweli lakini ndio tumuweke katika list ya kina pele na maradona[emoji23] [emoji23]
Maradona ni hatari zaidi kwa kipi hasa mkuu!! Itakuwa hujamfatilia babu pele ila mwisho wa siku kila mtu na mtazamo wake.Mimi naendelea kukaataa sifa anazopewa pelle mkuu,hata video clips za pele bado sijawahi kuzielewa,kawaida sana
Maradonna ni hatari zaidi
Hilo tulishalimaliza Mkuu..aliwahi nilisahau Mkuu...Una hakika gaucho hajawahi kutwaa ballon d or??
messi atolewe awekwe gaucho.Mtoe Ronaldo hapo muweke Platin.
We mshenz kweliGaucho hakuwahi kutwaa baloon d' or ila weah ametwa...thats a difference,
Cristiano Ronaldo record zake mpira ukibadilika zitaonekana ni za mchangani, kitakachoangaliwa.siku zote ni kombe la dunia au kombe ambalo kitajumuisha vilabu vyote duniani,Assume ni 2100 Ronaldo ameshastaafu soka zamani sana...vitukuu vyako wako wanacheki rekodi za Cristiano na hao ulowataja...unadhani wanaweza kusema kauli ya kijinga kama ya kwako..
Duh...we unafuatilia soka kwa makini?Gaucho hakuwahi kutwaa baloon d' or ila weah ametwa...thats a difference,
Mkuu Pele mtu mwingine kabsa..
Pele
Maradona
Messi
Ronaldinho
.
.
.
.
Ungeanza hiv usingekua na upinzan mwng na ungeonekana una busara kwa kias chake
izo ni tuzo kama zingine hata wewe unaweza kuanzisha yakwakoMbona pele hakuwahi kutwaa ballon door na yupo??
Kwani kipi kwako ni kigezo cha mchezaji bora, kipaji, mafanikio ama kitu gani.. Rui costa alikuwa mchezaji mzuri kweli lakini ndio tumuweke katika list ya kina pele na maradona[emoji23] [emoji23]
Duu hadi huku Upo?Gaucho hayupo??
huna kumbukumbu hujui mpiraGaucho hakuwahi kutwaa baloon d' or ila weah ametwa...thats a difference,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we nitafute tuuDuu hadi huku Upo?
Nakutafuta Ujue...