Top 10 football players of all time

Top 10 football players of all time

Huyo pelle sina imani nae,,,angecheza kipindi hiki cha wakorofi kama kina ramos nadhan asingemfikia hata adebayor
Mkuu huo ukorofi wa kina ramos ni cha mtoto, wakina pele wamecheza mpira katika mazingira magumu, sheria zilikuwa si nzur kidogo, miundombinu mibovu, pele kacheza katika viwanja vingine vibovu kama mkwakwani tanga lakini alikuwa anaudananda vizur hawa wa siku hizi vitu vingi safi kuanzia sheria mpaka miundo mbinu, man u waliulalamikia uwanja wa rostiv kuwa ni mbovu..

Kamuangalie vizur ndio utajua jamaa alikuwa na kipaji cha namna gani mkuu.
 
- Maradonna ni number 1.
- Alafu unautukana kabisa mchezo wa Football kumuingiza Ronaldo kwenye List kama hiyo mbele ya (Romario, Ronaldo De lima, Zidani, Rui Costa, Futre, Laudrap, Platini, Zico, Ronaldinho, Kaka)
Kwani kipi kwako ni kigezo cha mchezaji bora, kipaji, mafanikio ama kitu gani.. Rui costa alikuwa mchezaji mzuri kweli lakini ndio tumuweke katika list ya kina pele na maradona[emoji23] [emoji23]
 
Kwani kipi kwako ni kigezo cha mchezaji bora, kipaji, mafanikio ama kitu gani.. Rui costa alikuwa mchezaji mzuri kweli lakini ndio tumuweke katika list ya kina pele na maradona[emoji23] [emoji23]
Hawa watu wanachekesha sana...
 
Mimi naendelea kukaataa sifa anazopewa pelle mkuu,hata video clips za pele bado sijawahi kuzielewa,kawaida sana


Maradonna ni hatari zaidi
Maradona ni hatari zaidi kwa kipi hasa mkuu!! Itakuwa hujamfatilia babu pele ila mwisho wa siku kila mtu na mtazamo wake.
 
Top 10 ya miaka yote hadi Dunia inaisha


No 1 -10 ni RONALDINHO GAUCHO
 
Assume ni 2100 Ronaldo ameshastaafu soka zamani sana...vitukuu vyako wako wanacheki rekodi za Cristiano na hao ulowataja...unadhani wanaweza kusema kauli ya kijinga kama ya kwako..
Cristiano Ronaldo record zake mpira ukibadilika zitaonekana ni za mchangani, kitakachoangaliwa.siku zote ni kombe la dunia au kombe ambalo kitajumuisha vilabu vyote duniani,

Mtoa mada akili yako fupi unadhani ulaya itatawala milele mpira wa dunia?

Ipo siku japan au amerika kaskazini au china itatawala mpira w miguu dunian , na usishangae siku hizo ligi za huko ndo zitakuwa zinapewa promo, na watoto wetu watakuwa wanaziangalia hizo, na watakuwepo wafungaji bora wa kuvunja vunja rekodi za huko ligi itakapokuwa imehamia,

UEFA au La Liga au EPL itakuwa Inafanana na mashindano madogo sana ndani ya dunia hii, hivyo wa kumkumbuka ronaldo eti kavunja rekodi ni nani?

Gaucho, Zidane, na Kaka bila kumsahau Ronaldo Original , icon pekee inayoendelea kuwap alama ni kusababisha kutwaa kombe la dunia ambalo kila team au nchi ulimwenguni hushiriki kwa namba yake, na ndo kombe lenye hadhi kuzidi makombe mengine ya UEFa,

Usishangae hata manuel Neur anakuja kukumbukwa kuzidi Hao unao wataja,

Hivyo basi ili Ronaldo aingie katika kitabu cha kumbu kumbu ya dunia nzima, ajitahidi ashinde WC mwezi kesho
 
Pele
Maradona
Messi
Ronaldinho
.
.
.
.

Ungeanza hiv usingekua na upinzan mwng na ungeonekana una busara kwa kias chake

Gaucho toa hapo, sio mahala pake...hapo kwa wakubwa tu.

Messi
Diego
Pele
 
Kwani kipi kwako ni kigezo cha mchezaji bora, kipaji, mafanikio ama kitu gani.. Rui costa alikuwa mchezaji mzuri kweli lakini ndio tumuweke katika list ya kina pele na maradona[emoji23] [emoji23]

Sijamlinganisha Rui Costa na Maradonna. Lakini huwezi mueka Ronaldo na akina Maradonna kabisa.
Na Ronaldo hawezi upata hata nusu ya uwezo aliokua nao Rui costa au Paul Futre.
 
Back
Top Bottom