Top 10 football players of all time

Kwa mategemeo yangu namtabiria M.SALAH miaka mi5 ijayo ataingia kwenye historia hii
 
Huna ku
huna kumbukumbu hujui mpira
Tena wewe ndo huna kumbukumbu,hujui kusoma,MTU Kashasema Tangu Pages zilizopita Kuwa sawa Kakumbuka Jamaa aliwahi,wewe Hata husimi,Hukumbuki Post za Nyuma sasa Kweli wewe ni Mchambuzi makini Kweli?
Unatia shaka Mkuu! Soma Post za Nyuma kwanza Kabla ya Ku comments
 
Sasa hivi mkuu ndiyo wachezaji wanalindwa , siku hizi kuna fair play, miaka hiyo mpira ulikuwa unachezwa kibabe sana, Enzi za kina Pele hadi miaka ya '80 mpira ulikuwa ubabe mtupu. Tafuta video clip za zamani uangalie mpira uliokuwa unachezwa na Uruguay . tafuta clip/ video ya world cup 1990 angalia mechi ya Cameroon vs Argentina ambapo Argentina ndiye alikuwa bingwa mtetezi. Utaona kina Cyril Makanacky na Louis Mfede walichokuwa wakimfanyia Maradona na Claudio Canigio
 
Huyo pelle sina imani nae,,,angecheza kipindi hiki cha wakorofi kama kina ramos nadhan asingemfikia hata adebayor
Enzi zake hata viwiko ruksa na alivuma hivyohivyo. Sijui wakorofi wa kipindi hiki watawazidi nini hao wa zamani
 
Hii orodha imeelemea ushabiki kuliko ukweli, kuna watu hawakutakiwa kuwepo. Kuna wengine hawakustahiki kuwekwa sehemu uliyowaweka
 
Kama unapima wachezaji bora kwa kutwaa world cup ni ww...kwan Johan Cruyff katwaa world cup???...leta listi ya top 5 best players yoyote ile Kama utamkosa labda utunge ya kwako..ronaldo ana uefa 5,ballon d'or 5 na mabao kedekede unategemea asiwepo...
Halafu sahau kbs kuhusu kufa kisoka kwa ulaya..mpira unazaliwa America unakulia Europe.. hao cjui Asia unaowasema ww wanandoto za kucheza ulaya..hivyo sahau hilo...
 
Pele hakucheza ulaya kwa sababu alikuwa ni nyala ya taifa, alikuwa hauzwi kwa amri ya bunge
 

Nenda kanunue VHS nyiingi afu kaa tazama soka,weka rekodi zako safi afu uje utuwekee hapa

Kwanza una umri gani kiongozi maana isije kuwa tunasoma koment ya under 20 mwenye maono ya kubadilisha jua liwe mwezi
 

Kiongozi hivi kwanini Ronaldo anadharaulika licha ya kufanya mengi uwanjani!?

Japo naamini ni sababu ya biashara watu wamefanikiwa kutengeneza Diamond na Kiba uwanjani

Ogopa mtu anaeufuata mpira uliko(nadhani umeelewa) na bado akafanya vizuri kabisa hadi nguvu zinaanza kumwishia

Kuna huyu weah asee kiongozi au kwa kuwa ni mwafrika mwenzetu nini??!

Nakuamini kiongozi rudi uwatazame upya woote na wale ambao hujawataja afu nadhani kule juu wa kwanza kumtoa atakuwa ni messi (tuweke mahaba mbali kabisa) utaipata list safi kabisa

Tatizo litakuja ni pale watoto wa chekechea weengiii watakuja hapa na kejeli zao ikiwa hata De lima tu wanamwona kwenye vizibo vya jojo
 
 
The Top ten of footballers of all time
1.Edson De Nascimento (Pele)
2.Diego A.Maradona
3.Leonel Messi
4Cristiano Ronaldo
5.Alfredo Di Stefano
6.Gerd Mueller
7.Eusebio
8.Ronaldinho
9.Zinedine Zidane
10.David Degea

 
Puskas alistahili kuwa number 2 hapo sio huyo aliezaliwa kipindi cha red card,penalty na substitution hamjamtendea haki

Alafu huyo ronaldo hakustahili hata top 10..... Hivi kweli ronaldo anamzidi zico,didi,lato,telmo zarra au garrincha??? Duh hatupo serious kabxa
 
Jamani hao wachezaji was enzi ambazo hakuna offside, enzi ambazo hakuna tv
Mbona husemi hakukuwa na red card hivyo rafu zilikuwa kibao,hausemi kulikuwa hakuna penalty baada ya dakika 120?? Unasahau hakukuwa na substitution so akiumia mmoja mnacheza 10 tu!!!

Kwa vigezo hivo huyo messi na ronaldo hawastahili kuwemo humo
 
Mkuu kuchukua ballon d'or moja si kigezo cha kuwepo humo,kuna watu kama kaka,van basten,ronaldo de lima hawapo hapo na ni wakali sembuse weah!!??....Ila sijakuelewa kbs unaposema Leo atolewe hapo, atoke yy aingie nan?? don't expect it now and forever
Sijamdharau Cristiano ila hapo ndo anafaa kuwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…