Top 10 football players of all time

Alipowekwa ndipo anastahili kwan waliomweka hapo ndo wameona anafaa kuwa hapo.
Mnamclassify Ronaldo kwa kiwango chake cha sasa...mchambue toka anaanza hadi sasa...mpeni heshima yake...
 
Alipowekwa ndipo anastahili kwan waliomweka hapo ndo wameona anafaa kuwa hapo.
Mnamclassify Ronaldo kwa kiwango chake cha sasa...mchambue toka anaanza hadi sasa...mpeni heshima yake...
Hamna kitu kumlinganisha na Zico au garrincha ni vizuri hao waliokwapua hiyo listi wapitie takwimu za nyuma waache mambo ya kupigisha watu kura ndio matokeo yake wanaongozwa na ushabiki......
 
Hamna kitu kumlinganisha na Zico au garrincha ni vizuri hao waliokwapua hiyo listi wapitie takwimu za nyuma waache mambo ya kupigisha watu kura ndio matokeo yake wanaongozwa na ushabiki......
Naam ndo wamefanya hivyo....mpaka uwekwe hapo ina maana wamechambua rekodi zako na kuona ni one of the best...hakuna aliyependelewa hapo..huyo si mtu kakurupuka kaweka bali ni watu wenye upeo na hayo mambo..
 
Hapana wenye upeo walishakaa kamati wakatengeneza list ya wachezaji bora wa all time na pele alikuwa wa kwanza hyo ilikuwa mwala 1999 toka hapo hiyo kamati haijawahi kukaa tena so hawa wengine ni kma shafiih dauda tu au kumwembe unless ungetuwekea source ili tukajiridhishe walitumia vigezo gani kufikia hapo otherwise ni ushabiki tu

Kweli christiano anamzidi zico..... Duh ngoja nikalale tu
 
The Top ten of footballers of all time
1.Edson De Nascimento (Pele)
2.Diego A.Maradona
3.Leonel Messi
4Cristiano Ronaldo
5.Alfredo Di Stefano
6.Gerd Mueller
7.Eusebio
8.Ronaldinho
9.Zinedine Zidane
10.David Degea

Degea hajafika hata robo ya ubora wa Iker
 
Sijawah fuata updates za mchambuzi wa kibongo mm,na wala sitafanyaga hivyo....hata nikileta source vilevile tu mtabaki na misimamo yenu...kubali,goma yote sawa tu..
 
Mbona husemi hakukuwa na red card hivyo rafu zilikuwa kibao,hausemi kulikuwa hakuna penalty baada ya dakika 120?? Unasahau hakukuwa na substitution so akiumia mmoja mnacheza 10 tu!!!

Kwa vigezo hivo huyo messi na ronaldo hawastahili kuwemo humo
Mpira uliokuwa unachezwa na wavaa chupi wa enzi hizo ni hovyo kabisa
 
mpira sio shoo game nyie... nyie ndo mnashangilia vyenga...kisa unaangalia viclip vyake u tube unaanza kujaji...fuatilia kwanza ndugu usikurupuke..
Kwa statistics gaucho ni mchumba hadi kwa neymar jr
 
lionel messi anashika nafasi ya pili lakini cha ajabu mpinzani wake kwa miaka 10 mfululizo anashika nafasi ya 6 kwa mujibu wa list.
bongo movies ndio wenye tabia ya kumsifia mwenzao wakati ameshakuwa marehemu hivyo basi washabiki wa mpira tuachane na mila za bongo movies.
hivi huyu cristiano ronaldo tunamchukuliaje?
  • kama messi anamshinda maradona sasa kwa nini ronaldo asimshinde maradona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…