Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

1. Mpangalukela Tatala - Nilifanya naye kazi Kigoma miaka ya 80'.

2. Balinagwe Mwambugu - Mwandishi wa habari mkongwe

3. Bantulaki Bilango - Mwandishi wa habari miaka ya kati ya 90'. sijui sasa hivi yuko wapi.

4. Nyaronyo Kicheere - Mwandishi wa habari mkali

5. Jenerali Ulimwengu - Mwandishi wa habari mkali mkongwe

6. Mangengesa Mdimi - Mwandishi wa habari mkongwe

7. Angalieni Mpendu - Radio Tanzania ya Zamani

8. Maokola Majogo - Alipata kuwa mmoja wa Mawaziri wetu wa zamani

9. Chesi Mpilipili - Mwandishi wa habari wa zamani

10.Mbuke Tubanga - Mchezaji wa timu ya netball ya Jeshi Stars iliyowika sana miaka 80

11.Bhoke Matambalya - " " " " " " "

12.Bhoke Munanka - Miongoni mwa Mawaziri wa Mwanzo kabisa baada ya Tz kupata Uhuru
 
Fitina Zanzibar - dada huyu nilisoma naye primary school.

Shagihilu Lufulondama - mwanasheria na Interpol officer, Dar.

Lubeja Sabini

Saakumi Mashini - Mpanda baiskeli usukumani

Kitakwete Kitabanganda - mchangiaji wa Rai in 90's.

Majamda Gatemikaji - rafiki yangu.

Bujaga Izengo Kadago - RTD in 90's
 
Kukutia Ole Pumbun
Jina maarufu la kesi katika mahakama za tz
 
Kuna jamaa yangu anaitwa Andrekatenkancha Vangilisasi. Hili jina lilimpa shida sana mkuu wa shule msaidizi kulitamka. Kama yupo JF huyu ndugu Vangilisasi naomba ani PM tukumbushane habari za enzi hizo tukiwa shule.
 
Kuna jamaa yangu anaitwa Andrekatenkancha Vangilisasi. Hili jina lilimpa shida sana mkuu wa shule msaidizi kulitamka. Kama yupo JF huyu ndugu Vangilisasi naomba ani PM tukumbushane habari za enzi hizo tukiwa shule.

Huyu atakuwa mhamiaji haramu kutoka Madagascar.
 
1. Jilugala Jig'weka Jagadi
2. Shindo kamili

Nilisoma nao wote hawa Kazima Sec mkoani Tabora miaka ya 1990 mwanzoni
 
Una utani na wasukuma?
 
Una utani na wasukuma?

teh teh...hao jamaa huwa wana majina magumu halafu marefu, wakifuatiwa na Wanyakyusa

Andendekyisye Kyambampiki Mwasakafyuka...hilo ni jina la Mnyakyusa
 
----- Nkeo Pwekee, huyu nimesoma nae Sokoine Primary School, Tandika Azimio. Kinyanguli Tuzo a.k.a King Kinya, mchora katuni wa gazeti la Risasi.
 
Daudi Kufakunoga - Mchezaji wa zamani prison Mby

Kyambiki Mwakipake

Pro Mshindo Msolla

Mdindiliuchi Sefimbo Migavilo - R.I.P
 
Waroom Mashine muhitimu wa Kilosa Secondary School mwaka 1989 au 1990. CHUGA NDANI-Kilosa Secondary School-1985
 
sigorwike Mkamati: graduate wa SUA - BVM, na kubarikiwa watoto watatu
 

Kanya Kayashika - Mfanyabiashara maarufu wa magari ya kijapani
 
[1] Ngodoo Meing'ori Kaloleni Primary

[2] Emanueli Lebarani Saning'oo

[3] Bisare Mandiga

[4] Lembida Lengishon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…