Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Maguhwa Mahugija Tabora School 1997 class
 
TULIBAFICHIKA TULIFICHIKANA nilikutana nae sehemu huyu jamaa, mwengine ni CHIZI KACHIZIKA alikua mwanafunzi chuo kikuu (may be mlimani), wengine nitawataja mda mwengine..
 
MAGORINYA huyu nilikutana naye mkoa wa Mara mwaka 1998.
MAUA DAFTARI
ATIFUGWEGWE MWAIFUGWE
MABONDO KUMALIJA
NTUKAMAZINA
 
Ndg Ipilinga ipanya idebe,mwanafunzi shinyanga sec 1999
 
Ndg Mapambano Mapinduzi, mwanafunzi shybush 1999
 
Wasiwasi Kezilahabi- Mhitimu UCLAS 2002 QS

Semamba Makinda
 
Ikupilika Nkoba, aliwahi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu.
 
Chabakanga Ntibarusiga.
Shilinde Mayaya.
Ngelela Kitapondya.
Boba Dongwe.
Wote wamesoma Umoja Sec. School, 1997. Nawamiss sana hawa jamaa aiseee!...popote mlipo!
 
Back
Top Bottom