mwezeshaji
Member
- Mar 27, 2013
- 76
- 20
Anamakinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALI SHANTO MBAGA konda wa daladada -ubungo mwenge
Lyamba Ghaba,
Mwanza secondary 2004 badae akaenda UDOM
Jikapu Jikung'uteNilisoma na Gogomoka Misalaba 1991-1994 Dodoma Sekondari. Sitasahau siku mwl wetu wa darasa wa form IIF alipokuwa anaita majina darasani alisema kila anaposoma majina darasani akifika jina hilo tu huwa anajiona yuko makaburini na huwa anaona misalaba mingi sana. Kilichofuata ni kicheko kupita kiasi. He was a polite guy indeed! Kwa taarifa nilizonazo yuko Geita au Sengerema.