Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Mtoto wa Kishua Mwanzo nilidhani unatupelekapeleka kwa hayo majina ila nilipofika la dada yetu Tusekile Kibonde nikaamini hayo mengine ni ya kweli.
 
Last edited by a moderator:
Rugaimukamu Galwekengo,
Igambile Ogambaki Not Reachable
 
Afadhali lazima, Danken kapondanya, Rungwe sec. School 2002-2005

Nape Nnauye
Pandu Ameir Kificho - Spika BLW ZNZ
Kamal Basha Pandu _ Naibu Spika BLW ZNZ
Ame Mati Wadi - Mwakilishi jimbo la matemwe znz
Achilana Mtingele - Dodoma Sec 1997 - 2000
Deusdedit Kabundugulu - Dodoma Sec 1996 - 1999
Robert Dikoko Dodoma Sec 1995 - 1997
 
Waache Waseme Sana Siwajali Athumani - Mhitimu Masters of Education UDSM 2007
 
Hivi hapa kwetu kuna sheria inayodhibiti majina? Wa Swede wao hawana mchezo kwenye ishu ya majina:

 
Ndugu
Tuntemeke nyakisa Mwihomeke,Mbunge wa MAKETE 1995
Ndugu
bibi titi
 
Julius Mapumbu ..........MOSHI TECH SEC 2004
 
Pastor Yoshiro Kumamoto-SDA church,Kansas. Sori heading ni in tz! Ma bad!
 
madata lugomola
iholomela matandula
ng'wanidako ludetemya
maganiko lumelezi
busulwa nhomele
wasukuma wenzangu wa igunga..!
 
Rehema Mwakijambile, graduate IRDP Dodoma-Tanzania

Moses Mwankejela- TRA Arusha Tanzania

Lusako Mwakafyokofyoko, TPDF, Bulombola 2001
 
tuntufye mwaipas-shycom 2000,
nyawili mohamed-shycom 2000,
nyambabi nungu-shycom 2000,
lusekelo chibi-shycom 2001,
duh, kitambo mazee,
salute 2 u.
 
Hivi hapa kwetu kuna sheria inayodhibiti majina? Wa Swede wao hawana mchezo kwenye ishu ya majina:

Nchi zote zilizoendelea zina idara maalum ya kudhibiti majina ya watoto.
Pale unapoenda kuregister mtoto kama jina limeonekana na 'maana' mbaya au kutopendeza kwenye jamii hukataliwa.

Ni rahisi kufanya regulation hii kwenye nchi ya watu wa Kabila moja ambao wote wanazungumza lugha moja tu.

Kwa Tanzania Zanzibar labda wangeweza kufanya hivyo lakini kwa sahemu nyengine isingewezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…