Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Mbilizi Madata nilisoma naye Forest Hill Moro, 1992-94, huyu Dada alikuwa mkimya na mpole kweli, itabidi nimtafute kule FB.

Bwigane Magomela nilisoma naye Azania Sec. Dar, 1988-1991. Umenikumbusha mbali kweli. Namshukuru Mungu, ametutoa mbali sana

heshima yako ndugu shikamoo mara saba du ulisoma sec zamani sana na naona ni zamani coz ndo miaka nlokua nazaliwa 1988-1990
 

Haaaahaaa Teh Teh
 
Deo filikunjombe
Hemed olotu
Said bahanuzi
Mwambalaswa
Anyelwisye amanyisye
Tundu lisu
Sharhia middle wa itv
Sitti mtemvu
Chiku machangu
Chibwa
Juru
Chopa mchopanga
Asha dengegu
Regina mziwanda
Nuh mziwanda
 
Kuleberwa kadata nlisoma nae makongo high school 2001 to 2004
 
Ndugu NTAMUDYANKO BALISHIMULA muhitim wa kidato cha nne shule ya sekondari Moyowosi Kigoma
 
nilikuwa naye jeshini jamaa anaitwa Mboro sululu sijui yuko wapi. Siku moja aliteswa sana na maafande wakadhani anawatania walipommuliza jina na kuwaambia: Jina langu ni MBORO SULULU
 
Yupo ni Koplo wa Magenta na Mchezaji wa Lushoto Veterans. shabiki mkubwa wa Arsenal. Utamkuta Highland Hotel kila Arsenal inapokuwa dimbani
 
Juliana Matagiyasoda=Naibu Mkurugenzi wa Michezo chini ya Leonard Trade. Hakosi mechi uwanja wa Taifa kuanzia zile za VPL mpaka kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…