Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Nipatie Sigala na method tano- kinyala sec 2008
 
Kuna jamaa tulitoka nae bunge primary kwenda ILBORU anaitwa KUMALIJA NGHONO wanafunzi wakawa wanamtania eti KUMANGONOKA . Currently he is living in Oslo Norway.
 
Maregesi Gerald Mroba Kanakanshungu Mweru - Lugalo Primary School 2003
 
Peter Rutaishogorashogora Maanyuma st.anthony 1998 fm4
 
Mkuu umenikumbusha mbali hilo jina Gogomoka msalaba, kuna teacher Zanta alikuwa anapenda kuliita kwa mbwembwe sana goo go mooka msaalabaaa.
Ongeza...NYIGA ITUMBAGIJA..minaki high school
 
Hayo majina ni kweli hususani ya Minaki. Wajukuu wa mzee wetu marehemu Paul Mjale. Nimefurahi kuyaona haya majina.
Uko sahihi..akina teacher Fumbuka, masumai, kasanda, mkwangwanyule nk
 
NIENDIWE MAPANDE, alihitimu Jangwani Kidato cha Sita 2006-2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…