2.0 GPA
Member
- Jul 11, 2015
- 73
- 55
Babu yake atakuwa MukudaMusenge Mukuma,barozi wa zambia nchini tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yake atakuwa MukudaMusenge Mukuma,barozi wa zambia nchini tanzania
Siku hizi anatibia kwinginekingunge ngombale mwiru - mganga wa chama tawala
Nipatie Sigala na method tano- kinyala sec 20081. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
===========================
===========================
UPDATES: Mwenye jina no. 8, John Pombe Magufuli, sasa ndiye Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 - 2020
Hatali sanaMusenge Mukuma,barozi wa zambia nchini tanzania
dah!!! mkuu huyu jamaa nimesoma nae o-level.MASIKITIKO LAZIMA (Monduli Teachers' College 2012-2014)
hiyo no 1 nna wasi wasi ni kamba [emoji23] [emoji23]1.Mbogakuku Nyamasenene Kitoweo- Makunduchi primary school 1942
2.Yoweri Kaguta Mu7
3.Chiruma Msela Garinoma
Mkuu umenikumbusha mbali hilo jina Gogomoka msalaba, kuna teacher Zanta alikuwa anapenda kuliita kwa mbwembwe sana goo go mooka msaalabaaa.1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
===========================
===========================
UPDATES: Mwenye jina no. 8, John Pombe Magufuli, sasa ndiye Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 - 2020
Hahaha, hata Mimi aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo no 1 nna wasi wasi ni kamba [emoji23] [emoji23]
Uko sahihi..akina teacher Fumbuka, masumai, kasanda, mkwangwanyule nkHayo majina ni kweli hususani ya Minaki. Wajukuu wa mzee wetu marehemu Paul Mjale. Nimefurahi kuyaona haya majina.