Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Supuku Milia, Kaunda Kungunye, Victor Mamamkwe.. Hao nilisoma nao.. Ila kuna akina Sitaki Malaki, Palamagamba Kabudi, Padinjareparampili
 
BALOZI MMOJA AMBAYE ALILETWA TANZANIA LAKINI IKABIDI ASIPOKELEWE KUTOKANA NA JINA LAKE ALIKUWA ANAITWA MUKUNDU MUKHUMA
 
Angulile Kafikampatile Mwaikenda. Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Matwiga iliyoko Chunya Songwe (Zamanii Mbeya). Kipindi flani nilisikia kahamia Lupa. Kafikampatile ndo ishu hapo
 
Vyondaliye, myandagaro, Ndaruvyalire, Vyaghuttagha, Namyengero, Nzophaahomvukiye, Kantagara, Mbonamasabo, Havyarimana, Imanayamuremye, Ngurinziraahombaye, Niyonkuruyandemye,
Hawa Nina undg nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…