Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Ng'ongo Bundunde! Huyu nilisoma nae turiani primary magomeni!
 
Mpiringondo Ngombare Mwiru_ Kibaha Ss 1992_1994
Kumbwandumi Kalebi Kibaha SS 1994 _1996
 
Eeeeh mama watoto weeee Nyabweke Nyamakato...kitu tall flan hivi amazing...daah Mkwawa High School rahaa sanaaaaa enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…