Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

 
Katika pita pita zangu nimekutana na mzee mmoja anaitwa CHONCHORYO CHACHA CHONCHORYO
 
Nilisoma na mtu ndanda boys
Wakuitwa...YUMBA KABOBO,,mbaya Sana wa physics na pure maths
 
Haya majina mengine tungeyasikia zaidi enzi zile za naintini kweusi
Mabingwa wa Salam RTD
 
Kama ulibahatika kushika mashine ya kuandaa vitambulisho vya mpiga kura basi haya majina uliyakuta,Nilijaribu kusearch kila kiungo cha mwili nikakuta ni majina ya watu,tunayoyaita matusi ni majina ya watu pia,viungo vya uzazi navyo watu wanatumia kama majina [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Alinanuswe hobbo mwakisunga.... mbambo ndani ndani uko
 
SIAJALI MBWATI KAGUNULA dah mwamba alikua fundi dodoma cable television

mwingine aliitwa NG'OMBENZELU WAMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…