Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

BOTISWANA TUNDUMA MUHITIMU CHUO CHA UALIMU TANDALA 2004
 
Jakaya Mrisho kikwete Mkwerewacha Linzem zee !! Ikulu Daisalama Rais kuanzia Mwaka ......2005- Siku hizi yuko Goba anafuga mbuzi!
 
(Makumaku Kinyenye Polepole Mkundupolipo) ni jamaa mmoja mtata sana kiungo namba 8. Huyu Kwa soka la Ulaya, angechezea timu Bora duniani
 
Natujwa Ntulwanalo, Mazengo Primary School 2002.
 
Mayiku thumuni pula
Misalaba mabelele numbu
Noni matangula moga
Masanja nziku lupondya
Sato ndibato nzelakoma
Shilingi burugu pogoma
 
Nimegundua majina mengi hapa ni ya:
1. Kisukuma/Nyamwezi
2. Kinyakyusa
3. Pwani (kwere,zaramo,makonde,dengereko)
4. Kimasai
 
Plus Mwigulu Nchemba Rais wa Mawe 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…