Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Wajina huyo, Unyakyusani na Mbeya wala hilo sio jina la kipekee. Infact wanyakyusa na wahaya kama wanaijeria tu. Mara chache utawakuta na majina kama Francis,Gilbert...
Nikurekebishe kidogo.Wahaya wanapenda sana kuweka jina la kwanza la kizungu ila uzuri wao jina la ubin lazima waweke jina la asili kwao mfano
Peter Ishengoma
Switbert Mlokozi
Juli Mshobozi
 
Kifaru Malale ............................. Mzumbe Sec
Mwilu Mwandangalo ..................... Mzumbe Sec
Juma Maendaenda .............. Jkt kibiti
unaonekana wewe ni mate Mzumbe hebu inbox tuwasiliane
James Kasase---headmaster Mzumbe
Tibikunda Bichwa----displine master
Mama Masikio-----mpishi mzumbe
 
K
Kelumboti Pusindawa Leteyai. Muhitimu wa kidato Cha nne shule X Mkoani Kagera.
 
Hebu tutoke nje ya nchi kidogo
Hifikepunye Pohamba-----aliyekuwa raisi Namibia
Hage Geingob-------------aliyekuwa raisi wa Namibia
Nangolo Mbumba----------aliyekuwa raisi wa Namibia
Netumbo Nandi-Ndaitwah---raisi wa Namibia kwa sasa huyu ni mwanamke tena hivi karibuni alikuwa mgeni wetu alikaribishwa na rafiki yake mama yetu mkuu wa nchi
Mobutu Seseseko Ngbendu kuku wazabanga-----aliyekuwa raisi wa Zaire
Kim Jong Un----------raisi wa korea kaskazini
Hu Jin Tao-------------aliyekuwa raisi wa China
Hi Ji Ping---------------raisi wa sasa wa China
 
Ndugu Nogoro Nakabichi,mkulima kijiji cha nyakabindi bariadi.
 
Shilingi Sumuni Kulaya - Mkazi wa Kijiji cha Uchau Kusini, Kibosho, Kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…