Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Nili quote vibaya dogo. Jesacho
Nilitaka kujibu kwa muendelezo kwa alisema ni wa forest hill, naona umejiongeza
Kwa mujib wa maelezo yako unazaliwa sisi tayar tuko secondary

Goronga Kasaka...Forest miaka hiyo hiyo
 
Ndugu KIBIRITI MONZO kutoka Kjiji cha Wilaya ya Bunda
Bwana TUNTUFYE MATIPA mwanafunzi wa Mwembetogwa Secondary 1999-2002
UGALI MAHARAGE mwanakijiji wa Kibara
SHIDA MIBARAKA Mwanafunzi wa Ifunda Primary 2007
 
Doyi Kape Mazenzele sua 2008

Nyumba Kazi sua 2009

Mchwampaka Mgandulile gold moshi adv. 2004
 
Mwilu Mwandangalo-mhitimu wa kidato cha nne 2008 mzumbe sec
 
NGAYA MBWESO- mwanafunzi kidato cha kwanza, lyandembela secondary 2014.
 
MUUNGANO KIKOTI kidato cha nne Kimandolu sekondari 1996
NGENGEMKENI MITO MINGI writer
 
Back
Top Bottom