Isaac nyonyox
Member
- Mar 11, 2015
- 60
- 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaga moses au pia kilikuwa na asumwisye mbambingiledah mboy wa box 2 mwambojoke alikuwa anasimamia milango tisa kama sijasahau! umenikumbusha mbali sana. chairman mbaga kama sijasahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kukutia Ole Pumbun' ,huyu jamaa aliishitaki serikali na kushinda kesi.
Unaweza google jina lake itakuja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kukutia ole pumbuni....hahaha!!!![]()
Mzee mwenye mavazi ya kimaasai ndiye Kukutia Ole Pumbuni
Kocha wa MajimajiKalimangonga Ongalla Mtoro. Footballer na mtoto wa RIP Ongalla.
Ni jina la mahali hiliKazuramimba
Hiyo itakua Dom sec ya Kaishozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesoma na Gogomoka Misalaba o level Dodoma Sekondari
Huyu ni msukuma mwanzo mwisho[emoji3] [emoji3]bwana MALELEMBA LUPONYANDIGILI,mazengo tech 1994 - 1997