TOP 10 makapuku tishio JF

Sijaelewa maana ya ukongwe, inamaana hata anayetoa pumba anajihesabu kwenye kundi la wakongwe? Kama ndivyo sifa izo ziniepuke. Dhambi ya ubaguzi itakuwa haikuanzia JF ni kwenye familia zenu, utakuta mtoto wa kwanza ndo anayekaa karibu na baba kwa vile ni wakwanza. Hapa tuangalie anayetoa point anayejua kujenga hoja siyo mauza uza ya ukongwe.
 
Kutangulia sio kufika
Kuwahi kuwepo mapemaJF sio nongwa
Kumzidi mtu umri haimaainishi umemzidi akili
Ndio maana busara zina dalili
Tuache kukariri
Ndio maana kuna wahariri
 
Umeongea point
 
Reactions: MJJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…