MJJ
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 313
- 256
Sijaelewa maana ya ukongwe, inamaana hata anayetoa pumba anajihesabu kwenye kundi la wakongwe? Kama ndivyo sifa izo ziniepuke. Dhambi ya ubaguzi itakuwa haikuanzia JF ni kwenye familia zenu, utakuta mtoto wa kwanza ndo anayekaa karibu na baba kwa vile ni wakwanza. Hapa tuangalie anayetoa point anayejua kujenga hoja siyo mauza uza ya ukongwe.