TOP 10 makapuku tishio JF

muda mrefu wa kuanzia miaka mingapi? by the way!! ka chit chat kamepoteza umaarufu wake!!
Tumia akili ya kuzaliwa tu mkuu
Chit chat bado IPO juu ...sema ww jukwaa lako ni la Polifix
 
Tumia akili ya kuzaliwa tu mkuu
Chit chat bado IPO juu ...sema ww jukwaa lako ni la Polifix

Ha ha ha... niliwahi kuwa member mzuri wa chit chat!!
Kitu ilikuwa kwa Wings...
hivi siku izi couples bado zina exit?
 
Ha ha ha... niliwahi kuwa member mzuri wa chit chat!!
Kitu ilikuwa kwa Wings...
hivi siku izi couples bado zina exit?
Siku hizi wameishiwa ubunifu kila siku utasikia "Nampenda fulani" halafu wakiona jukwaa linadidimia wanashusha lawama kwa MAKAPUKU et sisi ni GREAT SINKERS,,,Wkt wao ni vinara wa kujaza makorokoro server za Jf
 
Nilitaka nishangae..... Nakosaje hapo kwenye list kwa mfano?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi wameishiwa ubunifu kila siku utasikia "Nampenda fulani" halafu wakiona jukwaa linadidimia wanashusha lawama kwa MAKAPUKU et sisi ni GREAT SINKERS,,,Wkt wao ni vinara wa kujaza makorokoro server za Jf

Ha ha ha ha....
hivi utakuwa unawafahamu hawa wewe?
The Best Chit Chat Couples Ever!!!
1. Bishanga and The secretary, hii ndoa ilifungwa hapa hapa! Bishanga alivyokuwa rais wa taasisi fulani foleni ikaanza
so walifuatia kina Mamndenyi and companies...

Erickb52 na Chocs ili exit muda mrefu, Erick alivyohamia Austria mambo yakalala....
Arushaone and Lady doctor...
hii couple hii nadhani iko zaidi ya Chit chat....
sosoliso na Paloma wali hit sana!!
Van Diesel na Heaven on Earth ili hit pia..
Baba V na mwanae @'valentine'...aisee it was amazing!! kuna kipindi Valee alikuwa anabadili husband kwa masaa! alipita kwa paroko Eiyer, akaja Tonykyp, akaja uran nadhani sasa kaka mkubwa Nyani Ngabu ndiyo mmiliki..

Watu8 na familia yake yote!! pamoja na mke wake measkroni
Mzee Judgement, waliifanya chit chat sehemu ya burudani...
Katavi na Husninyo wake!!
Ikaibuka team moja ya mabazazi....ha ha ha ha na kiongozi wao Asprin na mwekundu....
Kuna wakongwe zaidi pia kimahusiano Mr Rocky na Dena Amsi...hii ndoa miss chagga alijaribu kuivuruga kwa nguvu zote!! baadae akalegea mwenyewe....
List ilikuwa kubwa sana, bila kuwasahau kina Mchambuzi...
Naona mshana jr ye bado yuko active
Old is Gold
 
Bitoz hesabu zako umekokotoa vipi? Mi naona kama namba ulonipa sio, labda nilitakiwa niwe angalau kwenye namba 4 hivi kwenda mpaka kwenye top
 
Siku hizi wameishiwa ubunifu kila siku utasikia "Nampenda fulani" halafu wakiona jukwaa linadidimia wanashusha lawama kwa MAKAPUKU et sisi ni GREAT SINKERS,,,Wkt wao ni vinara wa kujaza makorokoro server za Jf
Mkuu ishu sio ukapuku bali kuna watu hua wanapenda kujibu utumbo hata kwa ishu siriaz na ukicheki unaona kama huyo mtu sio wa long kiviiile sasa unahisi labda kaingia kwa ajili ya kuua tu
 
Mkuu ishu sio ukapuku bali kuna watu hua wanapenda kujibu utumbo hata kwa ishu siriaz na ukicheki unaona kama huyo mtu sio wa long kiviiile sasa unahisi labda kaingia kwa ajili ya kuua tu

Ni baadhi tu mkuu
Najua hilo ...but wanadhani kila kapuku kichwani hamna kitu binafsi mwanzo walinikejeli/kunidharau/kunitusu wkt naanza kutoa thread hapa Chit chat lkn Mimi SIKUWATUKANA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…