TOP 10 makapuku tishio JF

TOP 10 makapuku tishio JF

Naona wakongwe wamishiwa bundle maana siwaoni mtaa huu
 
Nawatakia jumapili yenye baraka
Sio kila siku kuja na list ya wakongwe wkt kuna list nyingi tu....wafuatao ni list ya members wanaokimbiza kimya kimya na wanaokuja kwa kasi hapa JF yaani makapuku/underground/wasio maarufu JF wenye:
Most posts
Most likes
Most points

1/Phillipo Bukilo

2/MKWEPA KODI

3/Einstein newton

4/.............

5/YEHODAYA

6/Jimena

7/Pohamba

8/Barbarosa

9/Th Name

10/Mwanahabari Huru
******************

11/ribii
12/Bansen burner
13/chosen generation


SOURCE;
/>Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
hongereni !!!!!!






Jokes ;
Phillipo Bukilo[emoji117] verified user wa kitaa?
MKWEPA KODI[emoji117] Ukishikwa na Anko Magu sitakutetea !
Th Name [emoji117] ur name is?
Barbarosa[emoji117] Ni kisiwa gani hiki?
Einstein newton[emoji117] hujavumbua ht kishada
Bansen burner[emoji117] halafu Kemia una F
Mwanahabari Huru[emoji117] mbona hutoi habari za makapuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi mbona sipo!!!!!!??
 
Back
Top Bottom