Top 10 most beautiful women soccer players in the world

je hapo nimeongelea wanaume au wanawake?? kwa wanawake usa yupo vizuri kuliko ulaya.. narudia tena wanawake sio wanaume
Labda hukunielewa mi namaanisha wanawake
Huwezi nambia ulaya wapo nyuma katika kukuza soka la wanawake
Kuna academy nyingi mno za kike
Hebu tazama hizi timu Germany, England,France na Netherlands
Shughuli zao si zakitoto Marekani anawajua
 

fursa za mpira kwa wanawake wadogo usa wanaucheza sana kuliko wanaume sababu ya scholarships.. haimaanishi hao wanawake wote wanakuwa wachezaji mpira wakiwa wakubwa.. ila kwa mchezo ambao watoto wa kike wengi wanaucheza sana usa ni soccer na basketball.. kama ambavyo waafrica wanacheza lede au kombolela....

kwa wanaume usa wengi wanacheza basketball na american football utotoni sababu zinawapa scholarships pia.... hata kama mwishoni wanakuwa madaktari
 
Sawa ila ondoa hiyo fikra ya kuwa USA kawaacha Ulaya ktk soka la wanawake
Ngoma droodroo
 
Nisichofurahia kwa wazungu ni lips tu zinakuwa nyembamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…