Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
- Thread starter
- #21
Africa!!!!!!!!!!Mbona hakuna wale warembo wa twiga starts??
Sahau[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa!!!!!!!!!!Mbona hakuna wale warembo wa twiga starts??
Labda hukunielewa mi namaanisha wanawakeje hapo nimeongelea wanaume au wanawake?? kwa wanawake usa yupo vizuri kuliko ulaya.. narudia tena wanawake sio wanaume
je hapo nimeongelea wanaume au wanawake?? kwa wanawake usa yupo vizuri kuliko ulaya.. narudia tena wanawake sio wanaume
Sawa ila ondoa hiyo fikra ya kuwa USA kawaacha Ulaya ktk soka la wanawakefursa za mpira kwa wanawake wadogo usa wanaucheza sana kuliko wanaume sababu ya scholarships.. haimaanishi hao wanawake wote wanakuwa wachezaji mpira wakiwa wakubwa.. ila kwa mchezo ambao watoto wa kike wengi wanaucheza sana usa ni soccer na basketball.. kama ambavyo waafrica wanacheza lede au kombolela....
kwa wanaume usa wengi wanacheza basketball na american football utotoni sababu zinawapa scholarships pia.... hata kama mwishoni wanakuwa madaktari
No 6,8 na 1 vp
Noma sana cio[emoji1] [emoji1] [emoji1]1 yopo sawa Lakini 10 mwisho wa matatizo. Wa mexico noma
Namba 10 namba 10 [emoji647] [emoji647] [emoji28] [emoji28]Huyo aliye nafasi ya kumi, acheni mungu aitwe mungu
Namba 10 namba 10 [emoji647] [emoji647] [emoji28] [emoji28]
Anafaa awe namba 1 au?
Mi naona huyo wa kumi amebebwa na pozi,nywele,tabasamu na picha ilimchukua amekaa vyema hebu mcheki no.1Ndio 10 awe ndo 1
Acha tamaa wee[emoji23] [emoji23]Ningekuwa kocha wala sihitaji mshahara
Za nn hizo neneNisichofurahia kwa wazungu ni lips tu zinakuwa nyembamba sana
Mi naona huyo wa kumi amebebwa na pozi,nywele,tabasamu na picha ilimchukua amekaa vyema hebu mcheki no.1
SikulaumuMacho yako yana makengeza mkuu
Mkuu wote wapo good2Macho yako yana makengeza mkuu