Top 10 TEN ndinga za kijapan zinazolala mbele balaa!

Top 10 TEN ndinga za kijapan zinazolala mbele balaa!

Kwenye viatu vya watoto, hapa zinaongelewa real ass cars sio gari zenye shape kama soapdish!
Hivi mkuu unazielewa lakini Koenigsegg au umeongea tu!?

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Hizo ulizotaja apo labda ni stock lakini sijaiona GTR R35

ACHANA KABISA NA SUBARU NA IZO EVO ZILIZOJAZWA MADUDU(MODED)

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah kwa stock engines Lexus anakimbiza na naturally aspirated zake na anawatoa nishai hata wajerumani. Kinachomuokuoa mjerumani ni ma turbochager tu kwa sasa!
 
Duh nilitaka kusahau Acura NSX (550 hp - 306km/h)
Achana nayo hiyo mashine[emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Yah kwa stock engines Lexus anakimbiza na naturally aspirated zake na anawatoa nishai hata wajerumani. Kinachomuokuoa mjerumani ni ma turbochager tu kwa sasa!
Alfu mkuu hii listi ni ya gari zenye horsepower kubwa na ikumbukwe pia speed haiangaliwi kwa hp kubwa mfano hizi lexus unakuta hp kubwa lakin gari lina uzito mkubwa.. Speed inaangaliwa kwa mazingira mengi kama gear ratio,weight, na aina ya transmission

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alfu mkuu hii listi ni ya gari zenye horsepower kubwa na ikumbukwe pia speed haiangaliwi kwa hp kubwa mfano hizi lexus unakuta hp kubwa lakin gari lina uzito mkubwa.. Speed inaangaliwa kwa mazingira mengi kama gear ratio,weight, na aina ya transmission

Sent using Jamii Forums mobile app
Power to weight ratio ndio factor kubwa sana kwa ku determine speed na torque ya gari! Walioweza kutumia light weight materials kwenye body na cabin huku wakiweka more horses output ndio wameweza kuzifanya gari kuwa more sportier!
 
Hiii tu baaaasi
aeba5ed183d8817d2c9c785c3b041bf6.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom