Top 10 the world's best dancers of all time in music

1.Michael Jackson, 2.MC Hammar, 3.Usher Raymond, 4.Omarion, 5.Hrithik Roshan, 6.Chris Brown, 7.Jason Derulo, 8.Justine Timberlake, 9.Ne-Yo, 10.Bruno Mars. labda bonus man atakaa Justine Bieber.
Roshan mtoe umuweke ARJUN mzee wa Arya Mr perfect India yote inamjua ok.
 
1.Michael Jackson, 2.MC Hammar, 3.Usher Raymond, 4.Omarion, 5.Hrithik Roshan, 6.Chris Brown, 7.Jason Derulo, 8.Justine Timberlake, 9.Ne-Yo, 10.Bruno Mars. labda bonus man atakaa Justine Bieber.
Katika hii list naongeza hapo Boney M. na Donnel Jonnes kabla au baada tu ya jina la MJ. kama umeyapanga katika order. Lakini najiuliza ni kwa nn hujaweka dancers wa Africa? maana hakuna kama Africa, Africa kuna waliovunja record, hasa wa zamani labda unaweza ku.google kuwapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…