Top 10 the world's best dancers of all time in music

1.Michael Jackson, 2.MC Hammar, 3.Usher Raymond, 4.Omarion, 5.Hrithik Roshan, 6.Chris Brown, 7.Jason Derulo, 8.Justine Timberlake, 9.Ne-Yo, 10.Bruno Mars. labda bonus man atakaa Justine Bieber.
Of All The Time?? This is a Big Joke.
 
S
Sema ten American top dancers siyo duniani mbona kuna aina tofauti na mitindo tofauti ya kucheza duniani!?....INA maana Michael anaweza kumshinda kucheza mwanamziki anayecheza staili za kiafrica!
Tena amalizie kabisa.. Ten American top dancers of his/her era
 
Omarion yuko vizuri... ila kuna watu watakwambia super nyamwela... [emoji51]
Kweli Omarion anajua.. kuna ule wimbo wake wa touch ali perfom kwenye BET na demu yule yule aliefanya nae video. Daaaah!! Ilikua noma. nimeitafuta hiyo perfomance sijawahi ipata, kama mtu aki itupia hapa itakua safi sana BET ya nyuma kipindi kile wimbo una hit
 
utaipata tuu mkuu
 
Unasemaje?
Jason mmmh hamna kitu
Usimcheki msanii mmoja pekeake na kuona inatosha hebu fatilia na wengine,take a time umfatilie derulo utagundua jamaa anaweza tena sana tu..
 
thisdayes Omarion ni mtata balaa naipata hiyo show, ingia net andika Omarion-touch BET live performance unaikuta pia kamsome kwnye dance movie inaitwa "YOU GOT SERVED make your move" ilitokaga mwaka 2004 kama sikosei
 
Kwa africa sidhani kama kuna mwanamuziki anadance kuliko hao watu.
Hivi Mziki wa Congo kwa kuanzia tu, wa zamani, akina Darlie Kimoko, Yondo Sister, Makhirikiri na wengine wengi wadau watanisaidia kuwakumbuka.
 
aagh ...yule hajui kucheza, naona anajikunjakunja kama mnyoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…