Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

Habari ya leo wanaJF,

JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii itasaidia uongozi wa JF kufahamu in general watu wengi wanaotembelea humu wanapendelea kusoma nini.

Unaweza kuzifahamu nyuzi 10 zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye JamiiForums hapo chini.

TOP 10 THREADS:

1. Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like": Rep. 1M & 14M views

2. Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo: Rep. 242k & 12M views

3. Makapuku Forum: Rep. 377k & 7M views

4. Battle: DSM vs Nairobi: Rep. 179k & 6M views

5. Manchester United Special Thread: Rep. 127k & 5M views

6. Liverpool FC (The Reds) | Special Thread: Rep. 86k & 3M views

7. Arsenal (The Gunners) | Special Thread: Rep. 82k & 3M views

8. Ulishawahi kula tunda kimasihara: Rep. 11k & 3M views

9. Wa mwisho ndiyo mshindi: Rep. 61k & 1M views

10. Selfika na JF. Snap it. Show it: Rep. 54k & 1M

NB: Kama kuna uzi wowote wenye wasomaji au wachangiaji wengi na haupo hapo juu, unaweza kuuongeza hapo chini kwenye comments.
1. Top 10 threads zenye wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums. (idadi bado inaongezeka kwa kasi ya ajabu).
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi usiku balaa!! Hapa ndio utajua watu Hawalali humu....
 
Mkuu umeudharau sana uongozi wa JF. Yaani wewe ujue nyuzi zilizo na wachangiaji wengi wao wasijue?
Hebu rekebisha hapo.
 
Wanajua mkuu, sema hawajawah kuposti humu!
 
Habari ya leo wanaJF,

JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii itasaidia uongozi wa JF kufahamu in general watu wengi wanaotembelea humu wanapendelea kusoma nini.

Unaweza kuzifahamu nyuzi 10 zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye JamiiForums hapo chini.

TOP 10 THREADS:

1. Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like": Rep. 1M & 14M views

2. Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo: Rep. 242k & 12M views

3. Makapuku Forum: Rep. 377k & 7M views

4. Battle: DSM vs Nairobi: Rep. 179k & 6M views

5. Manchester United Special Thread: Rep. 127k & 5M views

6. Liverpool FC (The Reds) | Special Thread: Rep. 86k & 3M views

7. Arsenal (The Gunners) | Special Thread: Rep. 82k & 3M views

8. Ulishawahi kula tunda kimasihara: Rep. 11k & 3M views

9. Wa mwisho ndiyo mshindi: Rep. 61k & 1M views

10. Selfika na JF. Snap it. Show it: Rep. 54k & 1M

NB: Kama kuna uzi wowote wenye wasomaji au wachangiaji wengi na haupo hapo juu, unaweza kuuongeza hapo chini kwenye comments.
last man standing
 
Back
Top Bottom