ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #281
Umeiona πΉπΏ hapa kwenye List? ππlist inaongelea natural resources, mleta mada anaongelea madini pekee, wakati kiuhalisia madini ni sehemu tu ya natura resources, sijui naeleweka?
Wacha porojo za kijinga,Kwa hiyo alikuwa anasema wanasomba Madini yenu ni nani?Magufuli alikuwa anaongelea "total natural resource" ikiwemo. misitu, aridhi nzuri ya kilino, mito na maziwa na bahari vilivyo ndani ya nchi hii .. ila kwa upumbavu wako wa ki-chawa umeamua kufanya mashambulizi binafsi kumnanga Magufuli.
Tanzania wanaofaidika na madini ni watu binafsi wachache, kwavile mambo mengi hayako rasmi, (no government support), Kila mtu anapambana na hali yakeWatanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
Top 15 African countries richest in natural resources - AfrikaTech
In general, any substance, organism, medium or object present in nature without human action and which in most cases is used to meet human, animal or plant needs is a [β¦]www.afrikatech.com
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
Ni kweli nimefuatilia hata top 15 hatupo , ni propaganda na makelele yamekuwa mengi ila kuna nchi nyingi zina mizigo kuliko sisi especially west africa, kule ndio rishwa imekithiri bora hata sisiWatanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
Top 15 African countries richest in natural resources - AfrikaTech
In general, any substance, organism, medium or object present in nature without human action and which in most cases is used to meet human, animal or plant needs is a [β¦]www.afrikatech.com
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
Hakuna Madini kuna uchuuzi wa kuokoteza Dhahabu,Vito nk.Tanzania wanaofaidika na madini ni watu binafsi wachache, kwavile mambo mengi hayako rasmi
Kumekucha acha nikajaze mafuta katika trekta langu nikapambane shambani.. sibishani na chawa anayeshinda nyuma ya keyboard akitegemea kulipwa 10,000 kwa siku kuleta matangopori mtandaoni akitetea watawala...Wacha porojo za kijinga,Kwa hiyo alikuwa anasema wanasomba Madini yenu ni nani?
Moto si mnagi nani kawazuia kufanya irrigation au yeye alianzisha hata mradi mmja wa maana ?
Kwa nini hukupambana wakati yule mtu wenu asiyejielewa yupo?Kumekucha acha nikajaze mafuta katika trekta langu nikapambane shambani.. sibishani na chawa anayeshinda nyuma ya keyboard akitegemea kulipwa 10,000 kwa siku kuleta matangopori mtandaoni akitetea watawala...
Nchi zipi zinafanya hivyo? By the way nani anataka auze kwenye masoko ya serikali Ili alipe Kodi? Wanatorosja.Kitu watu wengi hushindwa kuelewa, ni kwamba, ni kweli Tanzania tunazalisha madini mengi,
Lakini serikali haina mkakati wa kuyanunua moja kwa moja toka kwa wachimbaji na kuyauza wao kana taifa!
Kazi yao ni kupangia wanaume wengine bei elekezi tu sokoni!
Nenda mtaani ama sokoni fanya utafiti, (market trends)Kwa nini hukupambana wakati yule mtu wenu asiyejielewa yupo?
Saizi unapata jeuri ya kwenda Shambani Kwa sababu unajua Mama amefungua Nchi Kila zao linauzika
Utafiti wa kiti gani? Ukiona Kila mtu Sasa anakimbilia Kilimo wewe nini.kinakuja akilini kwako? Hilo.linahitaji Utafiti wa kwenda sokoni? eg mahindi yalikuwa yanauzwa 25,000-40,000 na soko hakuna Leo hii ,hiyo bei haipo hata msimu wa mavuno haiwezi dumu hata mwezi mmja ,soko kuu ni Serikali Kwa 70,000 Kwa gunia.Nenda mtaani ama sokoni fanya utafiti, (market trends)
Umewahi Iona Tanzania kwenye Nchi Zenye Madini mengi Afrika?Umeelewa title kwanza, list uliyoweka ni nchi kumi zinazozaliasha madin kwa wingi baran afrika. Sio nchi zenye madin mengi baran afrika