Top 100 best Hospitals in Africa: Kenya and Uganda dominate East Africa.

Huu ni utapeli. Hii ndo AIC Kapsowar hospital ambayo imewekwa namba 22. Kwa Tanzania hii ni just dispensary au kituo cha afya.
Hii imewekwa above Muhimbili, MOI, KCMC, Bugando, JK HEART INST. MLOGANZILA NA BENJAMINI MKAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipende kubishana na hawa watu,hawa ni ma bingwa wa kutengeneza habari
na ikitokea zuri likawa la Tz basi wao watalifanya lao.
juzi naona mitandaoni,wanasema yale ma basi ya mwendokasi et yalitengenezwa na kunununuliwa kenya
yaani Hawa watu achana nao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wakenya wengine wakudharau tu ndugu
wanaokoteza vitu vya hovyo ukitumia akili kutafakari unaona kabisa ni utumbo
Kwa upande wa afya Hakuna nchi yakuigusa Tanzania Ukanda huu never
wanaumia sana tunavyopaa huku wao wakidumaa
Cha kufurahisha kibera inashika rekodi namba moja duniani,lakini hawataki kujivunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…