Top 100 best Hospitals in Africa: Kenya and Uganda dominate East Africa.

Top 100 best Hospitals in Africa: Kenya and Uganda dominate East Africa.

Huu ni utapeli. Hii ndo AIC Kapsowar hospital ambayo imewekwa namba 22. Kwa Tanzania hii ni just dispensary au kituo cha afya.
Hii imewekwa above Muhimbili, MOI, KCMC, Bugando, JK HEART INST. MLOGANZILA NA BENJAMINI MKAPA.
images.jpeg
Kapsowar_5.jpg
img_3415.jpg
Kapsowar-Copy.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni utapeli. Hii ndo AIC Kapsowar hospital ambayo imewekwa namba 22. Kwa Tanzania hii ni just dispensary au kituo cha afya.
Hii imewekwa above Muhimbili, MOI, KCMC, Bugando, JK HEART INST. MLOGANZILA NA BENJAMINI MKAPA.View attachment 986359View attachment 986360View attachment 986361View attachment 986362

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usipende kubishana na hawa watu,hawa ni ma bingwa wa kutengeneza habari
na ikitokea zuri likawa la Tz basi wao watalifanya lao.
juzi naona mitandaoni,wanasema yale ma basi ya mwendokasi et yalitengenezwa na kunununuliwa kenya
yaani Hawa watu achana nao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wakenya wengine wakudharau tu ndugu
wanaokoteza vitu vya hovyo ukitumia akili kutafakari unaona kabisa ni utumbo
Kwa upande wa afya Hakuna nchi yakuigusa Tanzania Ukanda huu never
wanaumia sana tunavyopaa huku wao wakidumaa
Cha kufurahisha kibera inashika rekodi namba moja duniani,lakini hawataki kujivunia
 
Back
Top Bottom