Nimeona eti Evangelical Lutheran Church Health,
Dah sijui ni Kitu hani hiki, Hiyo Evangelical Lutheran haiexist,
Halafu wakaja na Hydom Hospital na Sereani zote za Arusha halafu zote hizo huwezi linganisha hata na Kairuki Hospital au hata Mission Rabininsia ya Dar,
Hawa jamaa wako Very Ignorant leo ndio nimejua,
Ndio hawa hurank kile chuo cha Kenya best in East Africa, Hovyo kabisa
Mbona hawajaweka The Aga Khan Hospital Nairobi?
Hawajaona hata haya kuweka Hydom, Hospitali ya Kawaida kabisa wakaacha JKCI? Si bora hata wangeweka Consolata Mission ya Njombe au St Gaspar ya Singida Kuliko hizo Hydom na Hiyo Lutheran ambayo hata haiexist??