COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
- Thread starter
-
- #81
you day dreaming 1.9 billion was expected and was never attained unless you proveYes as individual!
Wewe Mkenya hujui chochote kuhusu METL zaidi ya ku-troll! Hatutumii "ndugu yangu au asimama au makamera"! Jifunze kiswahili fasaha ili u-troll vizuri.
Uber naifahamu; ni "global" organization wakati huu utafiti ni kampuni za kiafrika. Kwa ACACIA wamo?Unaijua Uba Group? Je, unaweza kuicompare na KCB? Chakushangaza Uba haipo hapo kwenye list, Vp Globacom ya Mike Adenuga?
Sio Uber ni Uba, united bank of africaUber naifahamu; ni "global" organization wakati huu utafiti ni kampuni za kiafrika. Kwa ACACIA wamo?
Kinachofanyika Acacia, siku wakipata madini mengi inakuja ndege moja kwa moja kutoka Canada nakuchukua madini yanapelekwa kwao. Watanzania wengi hatujiamini kuna watu wengi sana wameajiriwa apo migodini lakini wanarubuniwa na pesa na kuruhusu madini kutoroka bila kupitia bodi ya madini, kwa iyo madini yanachimbwa na kuondoka badala bihashara ikawa apa apa Tanzania inakuwa tofauti yanaondoka na ndio Maana uchumi wetu haupati faida kulingana na madini yapatikanayoNi ujinga wa hali ya juu kutoiweka Acacia gold n yet all her mines, 3 in total r in Tanzania n listed at DSE n LSE. The report is biased n pretty sure a Kenyan compiled it.
Thubutu kwa MuhindiSerikali inapata kodi yake ipasavyo kweli?
Ndivyo masikini walivyo wanna discuss watu na matajiri wana discuss PesaMatajiri wako kimya, maskini wanapigizana kelele.
Wacha hasira kubali iyo METL unasema ni kubwa kwenyu ldc lakini ikija africa ni kama kioski ya piipiiπππWewe Mkenya hujui chochote kuhusu METL zaidi ya ku-troll! Hatutumii "ndugu yangu au asimama au makamera"! Jifunze kiswahili fasaha ili u-troll vizuri.