Top 100 companies in Africa,By Revenue

Top 100 companies in Africa,By Revenue

Wewe Mkenya hujui chochote kuhusu METL zaidi ya ku-troll! Hatutumii "ndugu yangu au asimama au makamera"! Jifunze kiswahili fasaha ili u-troll vizuri.

Sasa Geza

Sijajua Geza una mamlaka ya kugawia watu uraia!

Kwahiyo kinachokufanya kumpa mtu uraia sababu ya sentensi aliyoandika unaitoa wapi ndugu Geza?

"asimama" ni Kiswahili,au ni Kichina?.."makamera" ni Kiswahili,kinatumika sema sio sanifu...shida yako ni nini?....METL unaijua kwa kusoma magazeti kama mimi,una nini cha ziada zaidi yangu kuhusu METL?

Acha mbwembwe Geza.
 
Mwandishi: Uwepo wa makampuni hayo ktk nchi husika, una maoni gani Mr Mipango miji.

Mipango miji: Aaah maoni yangu ni kwamba hiyo inaonyesha kiwango kikubwa cha unyonyaji ktk nchi husika. Ni tofauti kabisa ni mifumo ya Tamaduni za kitanzania.
 
Unaijua Uba Group? Je, unaweza kuicompare na KCB? Chakushangaza Uba haipo hapo kwenye list, Vp Globacom ya Mike Adenuga?
Uber naifahamu; ni "global" organization wakati huu utafiti ni kampuni za kiafrika. Kwa ACACIA wamo?
 
Ni ujinga wa hali ya juu kutoiweka Acacia gold n yet all her mines, 3 in total r in Tanzania n listed at DSE n LSE. The report is biased n pretty sure a Kenyan compiled it.
Kinachofanyika Acacia, siku wakipata madini mengi inakuja ndege moja kwa moja kutoka Canada nakuchukua madini yanapelekwa kwao. Watanzania wengi hatujiamini kuna watu wengi sana wameajiriwa apo migodini lakini wanarubuniwa na pesa na kuruhusu madini kutoroka bila kupitia bodi ya madini, kwa iyo madini yanachimbwa na kuondoka badala bihashara ikawa apa apa Tanzania inakuwa tofauti yanaondoka na ndio Maana uchumi wetu haupati faida kulingana na madini yapatikanayo
 
Wewe Mkenya hujui chochote kuhusu METL zaidi ya ku-troll! Hatutumii "ndugu yangu au asimama au makamera"! Jifunze kiswahili fasaha ili u-troll vizuri.
Wacha hasira kubali iyo METL unasema ni kubwa kwenyu ldc lakini ikija africa ni kama kioski ya piipii😀😀😀
 
Back
Top Bottom