Top 100 universities and colleges in africa 2013 .....hongera udsm

Top 100 universities and colleges in africa 2013 .....hongera udsm

bmalale

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
466
Reaction score
24
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="class: i"]1 University of South Africa[/TD]
[TD][h=5]South Africa[/h] [/TD]
[TD]
flags_of_South-Africa.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 2 University of Cape Town[/TD]
[TD][h=5]South Africa[/h] [/TD]
[TD]
flags_of_South-Africa.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 3 Universiteit Stellenbosch[/TD]
[TD][h=5]South Africa[/h] [/TD]
[TD]
flags_of_South-Africa.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 4 University of Dar es Salaam[/TD]
[TD][h=5]Tanzania[/h] [/TD]
[TD]
flags_of_Tanzania.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 5 University of KwaZulu-Natal
[/TD]
[TD][h=5] South Africa[/h][/TD]
[TD]
flags_of_South-Africa.gif


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
MORE
 
Hapana tuchezea sisi UDSM. Ila hv huwa wanaangalia vigezo vipi wanavorate?
 
Yes at list tumo ktk top 100, 56 ikiwa Sokoine na 98 Muhimbili
 
Habari. naomba kusema kitu kimoja tu, source ya hiyo website sio kweli ni mtanzania mwenye hiyo tovuti na anaandika anavojiskia, lakini ki ukweli website ambayo zinatambulika hapa duniani ambazo hata zimepewa accreditation ya ku rank vyuo ni www.topuniversities.com na www.ft.com, ambapo kwa hapa Africa ni vyuo vya south Africa na Egypt, zingine zote hawajaweka rank, vinatambulika lakini havina ubora kabisa ikiwepo na chuo chetu hicho cha udsm. yaan udsm haina uwezo kabisa kabisa kuipita chuo kama kwa-zulu, yaan ki elimu, na kila kitu. tunatakiwa kukaza buti kweli na sio kujipa rank tu wakati ki uhalisia hatuwezi ku compete. moja ya vigezo vi kubwa ni research zinazofanyika faculty husika. da more researches n outcomes done z da more beta place tha college builds itself.
 
Naneno ya mkosaji....
Ukiingia kwenye web ambayo imekiweka chuo cha udsm juu basi hiyo web haina usahihi, lakini web iliyokiporomosha udsm, inakua sahihi automatically...
Pambafuu..
 
Back
Top Bottom