Mkuu hii Avatar yako usiku inaleta shida kweli kweli inafanya naskip nyuzi zako
Cheki list vizur jamii forum ipoSporah show(Njau) sijamuona hapo kwa list
-Pia ni changamoto kwa Jamii Forums haipo kabisa kwenye hiyo list. Ni wakati wa JF kujitangaza youtube na kuongeza idadi ya viewers.
Sifa inayopewa JF ni kubwa kuliko ilivyo, ndo maana nashauri waongeze juhudi sana haitoshi kutuambia inatambulika mpaka nje na Tanzania wakati takwimu bado ni ndogo.Cheki list vizur jamii forum ipo
[emoji1] [emoji1]Mhh
Yaani hata ukichukua YouTube viewer za domo ukatoa za kiba bado domo anaongoza hivyo YouTube viewer za alikiba ni negligible ukizicompare na domo