Top 100 YouTubers in Tanzania by Most Viewed

Top 100 YouTubers in Tanzania by Most Viewed

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Top 100 YouTubers in Tanzania Filtered by Most Viewed - Socialblade YouTube Stats | YouTube Statistics

TZView.png

Kwa maelezo zaidi soma link.
 
Mhh
Yaani hata ukichukua YouTube viewer za domo ukatoa za kiba bado domo anaongoza hivyo YouTube viewer za alikiba ni negligible ukizicompare na domo
 
Youtube kwa hapa bongo ni Millard ayo na diamond. Fans wa alikiba mnanafikia tu alikiba wa watu. Hajafikisha hata subscribers laki moja dah....
 
Sporah show(Njau) sijamuona hapo kwa list
-Pia ni changamoto kwa Jamii Forums haipo kabisa kwenye hiyo list ya Top 20. Ni wakati wa JF kujitangaza youtube na kuongeza idadi ya viewers.
 
Cheki list vizur jamii forum ipo
Sifa inayopewa JF ni kubwa kuliko ilivyo, ndo maana nashauri waongeze juhudi sana haitoshi kutuambia inatambulika mpaka nje na Tanzania wakati takwimu bado ni ndogo.
-Hapo JF ipo na 44 kwa Tanzania hii hii, Je tukilinganisha kwa E.Africa au Africa kwa ujumla?
--JF leaders kazeni buti msilewe sifa, ongezeni ubunifu.
 
Back
Top Bottom