Top 100 YouTubers in Tanzania by Most Viewed

Top 100 YouTubers in Tanzania by Most Viewed

Ni wachache sana hapo wanaostahili pongezi kwa maana ya wanaotumia kazi walizozalisha wenyewe au la basi wana haki ya kutumia kazi husika....na kuwaweka kapu moja ni kuwashusha wale wanaostahili pongezi kihalali.

Wengi wao hapo kazi zao ni kuhamisha tu kazi kutoka you tube site nyingine na kuzihariri kwa kuzipa tu title za kiswahili...huu si ubunifu ni wizi, na si haki kumpongeza mtu kwa hilo.

Na wengine ni wale wanaoweka picha ya uwongo juu (thumbnail) na uki click hiyo video ndani haina uhusiano wowote na kinachoonekana juu...na naamini ni Watazamaji wengi ambao huishia sekunde za mwanzo tu na kufunga hiyo video huku mwenye akaunti hujipongeza kapata click nyingi....huu ni uhuni na si ubunifu.

Namalizia utafiti nije na orodha ya wanaostahili pongezi ya ukweli, wanaotumia content wanazoandaa wenyewe na kuainisha wale wote wanaofanya tu piracy.
 
Duh! Nadhani Millard Ayo ndiyo mshindi hapo kwa mbali sana. Kwa mwanahabari ambaye audience yake ni Tanzania/watanzania/wanaolewa Kiswahili pekee, anastahili pongezi nyingi sana.
 
Release that track PLATNUMZZ.........
 
Back
Top Bottom