Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Hakika mi ni pite tu kwa kuwa DRC twa wafundisha sisi then? Kwa ukanda wa EA Tz ina ongoza nalipenda Jeshi la nchi yangu na nina wahamini
 
hahahaa tena matofali yenyewe haya hata cement....we majesh ya nchi kama morroco wana purchase fighter jets za kisasa km f-16 na sasa wantk kununua air defense ya warusi S-400,af watu wantk kutudanganyadanganya hapa......haba za wanajeshi walioshiba zshapitwa na wakati
 
Source ya takwimu is mzee baba
Tathimin hii imefanywa na nchi gani mzee baba
 
Jeshi linapimwa kwa ubora wa vifaa ilivyo navyo, idadi ya vifaa hivyo, idadi ya askari, nk
 
Haya ni maoni ya mtu mmoja. Utafiti ulifanyika wapi?
 
Duuuuuuuh hatupo inamaana tukirudi uwanjani na mganda anatuchapa??
 
Sawa but hamtakaa mlijue jeshi la wananchi wa Tanzania
Hapo kinachoangaliwa ni uimala Wa jeshi . kifedha(bajeti) , ki technologies (vyombo vya kivita) na wingi au idadi ya wanajeshi....nazani bongo tunawazidi idadi tuu na sio hayo mengne ndo mana hata 15 hatupo. Na usije shangaaa hata 20 tusiwemo[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…