Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

So silly. Anyone who would believe this is either dumb or ignorant. i.e: I dont see how would Ethiopia's $340mil budget make it more powerful than South Africa's $3,4Bil budget. The overall arrangement is quiet silly.
 
Unaweza kunipa sababu tatu za kunitukana?

Unaweza kunipa faida tatu ulizopata?

Unaweza kunipa hasara mbili nilizo pata??

Kama huna majibu nakuweka kwenye kundi lilelile. Siwezi kulitaja hapa nisije kuwapa mabasha faida.

CC: Nyani Ngabu msome huyu dogo ambaye kashatembea dunia nzima akashuhudia wanajeshi wakipasua vitofali kwa ngumi.

Hahahaa Komredi achana na huyo dogo. Wajeda wa ukweli hawavunji matofali ya mchanga kwa ngumi.

Kama nakumbuka vizuri wale Navy SEAL Team 6 kwa mfano, hawakumpiga Osama ngumi. Walimfunua tu komwe lake na zana kama hizi:

400px-Hk416_10_inch_left.jpg

600px-ST6_2217.jpg

Nani huwa anapigana ngumi vitani?
 
Kwa comment yako hiyo nimeona jinsi ulivyo mweupe kichwani. Pole sana kujifanya unajua usivyovijua.
 
Hizi takwimu ni upuuzi mtupu!!
Nigeria wemeshindwa na Boko haramu halafu inawekwa top 5
 
Shukuruni tu mnaamani tele nchini hapa
Maana kinacho tendeka kuipata amani hii hamkijui
Endeleeni kubishana
 
teh teh tz vipi tena nchi yangu mbona kila kitu ni zero dah inauma sana, si juzi juzi tu hapa tuliambiwa East Africa Tanzania ndio ina strong army? YOTE YATAPITA
VIVA UKAWA!!
Ukisema kila kitu zero unakosea mkuu. TUNAONGOZA KWA MAPENZI....... Hili halina ubishi ikiongozwa na tezi dume
 
Hahahaa Komredi achana na huyo dogo. Wajeda wa ukweli hawavunji matofali ya mchanga kwa ngumi.

Kama nakumbuka vizuri wale Navy SEAL Team 6 kwa mfano, hawakumpiga Osama ngumi. Walimfunua tu komwe lake na zana kama hizi:

400px-Hk416_10_inch_left.jpg

600px-ST6_2217.jpg

Nani huwa anapigana ngumi vitani?

Vitoto kama Nyenyere haviwezi kujua haya kirahisi....
 
Sawa but hamtakaa mlijue jeshi la wananchi wa Tanzania
Jeshi letu ni zuri ila hao walio juu wazuri zaidi aisee,watu kama misri wana fighter jets za kisasa kabisa km F16,washawah kupigana na nchi zenye nguvu km israel...so hata hatutakaa tulijue vizuri ila sidhan km tunawzidi misri morroco,angola au south africa
 
Tanzania jeshi letu ni zuri kwa kupiga raia wake tu hapa hapa sio kupigana vita na nchi nyingine. Sina data za uhakika ila nahisi silah zetu nyingi ni Soviet era weapons sio za kisasa
 
DRC tumeenda kuwasaidia kwao
Afu wapo huu.
Hii wametoa link kutokana na badget.
Ila hapa kwetu bajet ya jeshi ni unknown.
 
Source ya huu uzi wako ni halmashauri ya ubongo wako.
Huwezi kusema jeshi la nchi fulani liko strong huku kuna matukio mengi ya kigaidi yanatokea nchini kwako mfano nigeria hii inaingia akilini kwel....?
 
Back
Top Bottom