Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Watu wanaichukulia historia ya vita vya uganda kama ndio kigezo cha ubora wa jeshi letu kwa sasa. Wanasahau wenzetu hutumia teknolojia zaidi ya manguvu kwenye majeshi yao...Magufuli akiendelea na kujifanya
hasafiri walla hashiriki mambo ya kimataifa
hata kulinda amani nayo tutakosa
tutabaki jeshi la kupiga raia wakipita njia zao tu baasi
Jeshi letu liko ngangari kupasua vitofali kwa ngumi kwenye sherehe za kitaifa.
cc Komredi Nyani Ngabu, The Boss