Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Siri gani wakati tuliambiwa kuna Luteni Kanali Mnyarwanda aliyekuwa kwenye kitengo muhimu cha IT alitoroka na mafaili yote?
TOKA AONDOKE MNYARWANDA NA MAFAILI UNAYOSEMA NINI KIMEKUPATA KIBAYA KAMA HAKUNA KAA KIMYA JESHI SIYO FAMILIA YA MTU AKIFA AU AKIONDOKA BASI TENA TUMEKWISHA WANAFAMILIA KWA JESHI HILO HALIPO
 
thread za kipuuz kama hizi huwa zinanikera. hv nyie wajinga manajua JWTZ??

manina!!
 
Hzo takwimu ni zako na mkeo eti DRC Uganda Ethiopia .JWTZ ni namba tatu Africa kwa ubora angalia kilichofanyka Congo Commoro Dafur Lebanon ndio utajua mzk wa JWTZ
 
Ubora wa jeshi sio jumla ya idadi ya askari na vifaa. Kuna zaidi ya hapo. Ujasiri na uzalendo wa askari ni kigezo muhimu lakini kigumu kupima
Yaliyotokea Somalia ni kielelezo sahihi cha hoja yangu.
AlShabab wamefanya yao kwa kuangalia kigezo hicho bila kujali idadi ya askari na silaha.!
 
1. Egypt, PowerIndex: 0.6214


Total Population: 86,895,099
Fit for service: 35,305,381
Active Frontline Personnel: 468,500
Total Aircraft: 1,107
Total Naval Strength: 245
Oil Production: 680,500 barrels per day
Oil Consumption: 820,000 barrels per day
Defense Budget: $4.4 billion US
Serviceable Airports: 83
Land Area: 1,001,450 square kilometers
Coastline: 2,450 kilometers




2. Algeria, PowerIndex: 0.8695
is


Total Population:38,813,722

Fit for service:17,249, 199
Active Frontline Personnel: 512,000
Total Aircraft: 448
Total Naval Strength: 60
Oil Production: 1,900,000 barrels per day
Oil Consumption: 320,000 barrels per day
Defense Budget: $10.57 billion US
Serviceable Airports: 157
Land Area: 2,381,741 square kilometers
Coastline: 998 kilometers




3. South Africa, PowerIndex: 0.9233
is


Total Population: 48,375,645
Fit for Service: 14,093,327
Active Frontline Personnel: 88,565
Total Aircraft: 209
Total Naval Strength: 30
Oil Production: 192,000 barrels per day
Oil Consumption: 591,000 barrels per day
Defense Budget: $4.61 billion US
Serviceable Airports: 566
Land Area: 1,219,090 square kilometers
Coastline: 2,798 kilometers




4. Nigeria, PowerIndex: 1.1597
is


Total Population: 177,155,754
Fit for Service: 40,707,659
Active Frontline Personnel: 130,000
Total Aircraft: 98
Total Naval Strength: 75
Oil Production: 2,525,000 barrels per day
Oil Consumption: 280,000 barrels per day
Defense Budget: $2.33 billion US
Serviceable Airports: 54
Land Area: 923,768 square kilometers
Coastline: 853 kilometers




5. Ethiopia, PowerIndex: 1.2009
is



Total Population: 96,633,458
Fit for Service: 24,757,344
Active Frontline Personnel: 182,500
Total Aircraft: 81
Oil Production: 100 barrels per day
Oil Consumption: 52,000 barrels per day
Serviceable Airports: 57
Defense Budget: $340 million US
Land Area: 1,104,300 square kilometers




6. Morocco, PowerIndex: 1.2431
is


Total Population: 32,987,206
Fit for Service: 14,403,061
Active Frontline Personnel: 195,800
Total Aircraft: 282
Total Naval Strength: 121
Oil Production: 5,057 barrels per day
Oil Consumption: 210,000 barrels per day
Defense budget: $3.4 billion US
Serviceable Airports: 55
Land area: 446,550 square kilometers
Coastline: 2362 kilometers




7. Tunisia, PowerIndex: 1.4449
is



Total Population: 10,937,521
Fit for Service: 4,881,813
Active Frontline Personnel: 40,500
Total Aircraft: 138
Total Naval Strength: 50
Oil Production: 91,500 barrels per day
Oil Consumption: 90,000 barrels per day
Defense Budget: $550 million US
Serviceable Airports: 29
Land Area: 163,610 square kilometers
Coastline: 1,148 kilometers




8. Kenya, PowerIndex: 1.6835
is



Total Population: 45,010,056
Fit for Service: 12,468,138
Active Frontline Personnel: 24,120
Total Aircraft: 127
Total Naval Strength: 19
Oil Production: 0 barrels per day
Oil Consumption: 80,000 barrels per day
Defense Budget: $595 million US
Serviceable Airports: 197
Land Area: 580,367 square kilometers
Coastline: 536 kilometers




9. Angola PowerIndex: 1.8579
is


Total Population: 19,088,106
Fit for Service: 3,039,089
Active Frontline Personnel: 87,000
Total Aircraft: 269
Total Naval Strength: 55
Oil Production: 1,875,000 barrels per day
Oil Consumption: 80,000 barrels per day
Defense Budget: $4.15 billion US
Serviceable Airports: 176
Land Area: 1,246,700 square kilometers
Coastline: 1,600 kilometers




10. Niger, Power Index: 2.0079
is



Total Population: 17,466,172
Fit for Service: 4,413,986
Active Frontline Personnel: 5,300
Total Aircraft: 15
Oil Production: 20,000 barrels per day
Oil Consumption: 80,000 barrels per day
Defense Budget: $85 million US
Serviceable Airports: 30
Land Area: 1,267,000 square kilometers




11. Uganda, Power Index: 2.3122
is


Total Population: 35,918,915
Fit for Service: 8,513,969
Active Frontline Personnel: 45,000
Total Aircraft: 46
Oil Production: 0 barrels per day
Oil Consumption: 15,500 barrels per day
Defense Budget: $280 million US
Serviceable Airports: 47
Land Area: 241,038 square kilometers




12. Chad, Power Index: 2.3587
is



Total Population: 11,412,107
Fit for Service: 2,579,053
Active Frontline Personnel: 30,350
Total Aircraft: 34
Oil Production: 104,500 barrels per day
Oil Consumption: 125,000 barrels per day
Defense Budget: $120 million US
Serviceable Airports: 59
Land Area: 1,284,000 square kilometers




13. Zimbabwe, Power Index: 2.3968


Total Population: 13,771,721
Fit for Service: 3,174,207
Active Frontline Personnel: 29,000
Total Aircraft: 94
Oil Production: 120 barrels per day
Oil Consumption: 19,000 barrels per day
Defense Budget: $95 million
Serviceable Airports:
Land Area: 390,757 square kilometers




14. Ivory Coast, Power Index: 2.4641
is


Total Population: 22,848,945
Fit for Service: 6,556,120
Total Aircraft: 5
Total Naval Strength: 10
Oil Production: 40,000 barrels per day
Oil Consumption: 24,650 barrels per day
Defense budget: $440 million US
Serviceable Airports: 27
Land Area: 322,463 square kilometers
Coastline: 515 kilometers




15. DRC, Power Index: 2.4897
is


Total Population: 75,507,308
Fit for Service: 20,499,951
Active Frontline Personnel: 152,000
Total Aircraft: 42
Total Naval Strength: 20
Oil Production: 20,000 barrels per day
Oil Consumption: 15,000 barrels per day
Defense Budget: $162 million US
Serviceable Airports: 198
Land Area: 2,344,858 square kilometers
Coastline: 37 kilometer
Drc na uganda teh teh huu utoto sasa[/QUO
Sijui labda iwe tuna usiri wa kujinadi kuliko North Korea ila kama kweli ni hivi,Mungu azidi kutu nusuru, Uganda ni jeshi lililo funzwa na Watanzania leo wame tuacha hata 15 bora hatuonekani? basi kumbe si bure mipaka yetu ina vuja, Wasomali na Wahabeshi wana ingia kwa mamia kila wanapo jisikia wana kuja kukamatiwa Mbeya,Iringa,Morogoro katikati ya nchi fikiri inge kuwa ndio akina alnanino ingekuwaje? haya na tuombe kheri.
 
Kulijua jeshi la Tanzania ni vigumu sana kwa sababu si jeshi ambalo linapenda kuweka mambo yake hadharani. Na hii ndio inayochangia kwa kiasi kikubwa nchi yetu kuwa salama. Kwenye hilo suala la kutumika kisiasa nadhani haupo sahihi hata kidogo, jeshi letu lina nidhamu sana na wala halifungamani na upande wowote kisiasa.


Achaudwanzi hakuna jeshi linaloweka mambo yake hadharani hata hivo siku hizi siri ni mbinu zalivita tu maana kama silaha mnanunulia nje hamna siri
 
Kulijua jeshi la Tanzania ni vigumu sana kwa sababu si jeshi ambalo linapenda kuweka mambo yake hadharani. Na hii ndio inayochangia kwa kiasi kikubwa nchi yetu kuwa salama. Kwenye hilo suala la kutumika kisiasa nadhani haupo sahihi hata kidogo, jeshi letu lina nidhamu sana na wala halifungamani na upande wowote kisiasa.
Duu yaani unaamini propaganda za usiri wanazotumia jeshi la Tanzania kuwa kisiongizio cha kuwa imara. Ukweli unajulikana Tanzania jeshi lipo week sana sababu kubwa ni viongozio wetu kuliogoba kuliemarisha kwa kuogopa kupinduliwa. Sasa hivi ndio tunaanza kuona serekali linaanza kuwaangalia wanajeshi na kuinvest kwenye jeshi.
 
Nataka kufahamu kitu kimoja wadau....Hivi unaweza kuwa na jeshi imara wakati kiuchumi upo dhaifu???
No haiwezekani kwanza uchumi imara ndio jeshi tulimtowa nduli Amin mpaka sasa hatupo sasa na tuliambiwa miezi 18 tu jeshi imara use na vifaa vya kisiasa sasa. Kama Misri wanandege za kivita zaid ya elfu moja
 
Jeshi letu liko ngangari kupasua vitofali kwa ngumi kwenye sherehe za kitaifa.

cc Komredi Nyani Ngabu, The Boss
Mpumbavu atakula upumbavu wake. Mburura usiyejua hata misingi ya mafunzo ya kijeshi. Dunia nzima wanafanya hayo nyau wewe. Siasa zenu ziishie huko huko mshenzi wewe. Mdharau kwao ni mtumwa, hovyo kabisa
 
Mpumbavu atakula upumbavu wake. Mburura usiyejua hata misingi ya mafunzo ya kijeshi. Dunia nzima wanafanya hayo nyau wewe. Siasa zenu ziishie huko huko mshenzi wewe. Mdharau kwao ni mtumwa, hovyo kabisa
Unaweza kunipa sababu tatu za kunitukana?

Unaweza kunipa faida tatu ulizopata?

Unaweza kunipa hasara mbili nilizo pata??

Kama huna majibu nakuweka kwenye kundi lilelile. Siwezi kulitaja hapa nisije kuwapa mabasha faida.

CC: Nyani Ngabu msome huyu dogo ambaye kashatembea dunia nzima akashuhudia wanajeshi wakipasua vitofali kwa ngumi.
 
Sisi wabongo elimu shida hapa kwetu UN ndo inafanya kama tunafifaa vya kutosha laa sivyo ukwel atuna ki2 ni uwanja wa mazoez wa mataifa mengine congo wanavita miaka mingi kwaio wana uzoefu zaid ya kwetu kwaiyo kwenda kusaidia kwao ni makubaliana ya umoja kwasabu ya kupata mkwanja kama utoki nje akuna dola baba ndo mana ata ufaransa na ujeruman utaona wanakwenda sna ni moja ya kutengeneza jeshi na kupata mazoez kinadharia ni kama kupiga punching bag tofauti na anaepigana ulingoni unaweza ukawa fit kupiga pad lakin ukaogopa ngumi za uso
.....niulize, elimu shida, maana yake ni nini? Na ni nchi zipi za ulimwengu wa tatu hazina tatizo la elimu shida?
 
Tanganyika sisi vp,maana tumefanya ukombozi sehemu kibao afrika.
Tukiamua kutochanganya jeshi na siasa tutafika huko kwa wenzetu. Inafikia wakati mkuu wa kikosi anawazia kuchaguliwa kuwa mkui wa mkoa.
 
Jeshi letu liko ngangari kupasua vitofali kwa ngumi kwenye sherehe za kitaifa.

cc Komredi Nyani Ngabu, The Boss
Magufuli akiendelea na kujifanya
hasafiri walla hashiriki mambo ya kimataifa
hata kulinda amani nayo tutakosa
tutabaki jeshi la kupiga raia wakipita njia zao tu baasi
 
Jeshi morali bana,,,,,,raia acheni kuongelea jeshi wakati hata mgambo hamjaenda,,,,,nyie bakini huko mtaani na stori zenu za vijiweni na nyimbo za kina alikiba,diamond n.k,,sekta za ulinzi waachieni wenyewe ooovaaaa!
 
Back
Top Bottom