Malinyingi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 864
- 164
Vifaa tunavyo,vingi tu, hii tathimini ina mapungufu, labda tuseme jeshi letu lina usiri mkubwa sana wa nini kinacho miliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea point kubwa mno mtu anayecheza na jeshi la Tanzania akawaulize Comorro na m23Kulijua jeshi la Tanzania ni vigumu sana kwa sababu si jeshi ambalo linapenda kuweka mambo yake hadharani. Na hii ndio inayochangia kwa kiasi kikubwa nchi yetu kuwa salama. Kwenye hilo suala la kutumika kisiasa nadhani haupo sahihi hata kidogo, jeshi letu lina nidhamu sana na wala halifungamani na upande wowote kisiasa.
Kwani Tajiri akifiwa maskini yule anayekaa jirani haendi kusaidia hata kupika na kukaribisha wageni??
Tz maneno mengi tu hamna lolote.. Si jeshi wala Polisi.. Kwa Polisi hawa wanaopigwa ngumi na kunyang'anywa silaha kila siku ndio tuseme tuna jeshi imara??
Tatizo sasa hivi JWTZ wanatumika kisiasa, tofauti na enzi za Nyerere ambapo JWTZ lilikuwa jeshi strong barani Africa.
I cant believe macho yangu,mbona zenji haipo?
kwa mujibu wa TWAWEZA
Hizi ni takwimu za mwaka huu 2015.Takwimu za miaka 30 iliyopita. Potezea
Tanganyika sisi vp,maana tumefanya ukombozi sehemu kibao afrika.
Drc na uganda teh teh huu utoto sasa
Jwtz hawana cha kuweka hadharani. Jeshi ambalo halina hata ndege moja ya mashambulizi "Attack fighter" unataka liwe juu kwa vigezo gani?una uhakika na unachokiongea?
Hebu tuambie jwtz kipndi cha nyerere lilishika namba ngapi kwa ubora africa? Hebu lete data hapa na sio hearsay.
Hakuna hata sku moja jwtz liliweka mambo hadharan
Jwtz hawana cha kuweka hadharani. Jeshi ambalo halina hata ndege moja ya mashambulizi "Attack fighter" unataka liwe juu kwa vigezo gani?
Attack aircrafts ni helicopter za kawaida za kijeshi ambazo hutumika kusafirisha wanajeshi vyakula, silaha, Madawa n.k wakati wa vita. Nyingine zinaweza ia kurusha mabomu zikiwa angani lakini si kwa kiwango kikubwa. Lakini "Attack Fighter" ni zile ndege za maangamizi, ambazo hutumika kwa kurusha makombora ya maangamizi kwa kiwango cha hali ya juu.Mkuu with due respect
Mbona kwenye post yako #71 uliweka link ya Tanzania Military Strength ukifungua hiyo link kwenye kichwa cha maelezo Attack Power maelezo ya tatu yanasomeka "Fixed-Wing Attack Aircrafts-15"
Kunatofauti gani kati ya attack fighter na attack aircraft?
Attack aircrafts ni helicopter za kawaida za kijeshi ambazo hutumika kusafirisha wanajeshi vyakula, silaha, Madawa n.k wakati wa vita. Nyingine zinaweza ia kurusha mabomu zikiwa angani lakini si kwa kiwango kikubwa. Lakini "Attack Fighter" ni zile ndege za maangamizi, ambazo hutumika kwa kurusha makombora ya maangamizi kwa kiwango cha hali ya juu.