Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Jwtz hawana cha kuweka hadharani. Jeshi ambalo halina hata ndege moja ya mashambulizi "Attack fighter" unataka liwe juu kwa vigezo gani?

ona ulivyo hamnazo. Kwenye post yako ya mwanzo umeandikaje? Na hii ulioniquote umeandikaje?

Tatzo mnashabikia vitu pasipo kujua. Rudi darasan kasome kwanza ndio uje kubishana hapa
 
Hakuna lolote hapo Burundi au Rwanda peke yake inauwezo wa kuipiga DRC leo hii hata Tanzania haipo huo utafiti ni wako binafsi
 
Kuna uzi humu ndani nimeona eti “Somalia is safe country then Tanzania " this is a bad JOKE!!!
 

Attachments

  • 1444562856256.jpg
    1444562856256.jpg
    57.6 KB · Views: 323
Story yako ni ulongo mtupu!
Kwa mfano; Uganda inazalisha Mafuta lakini katika orodha yako inaonyesha hakuna uzalishaji wa mafuta.
Isitosha population ya kenya si 45 milioni.
 
Generali Mayunga aliwahi kuwaita raia wakakamavu alipoona mpaka makoplo na masajenti wana vitambi!
 
Story yako ni ulongo mtupu!
Kwa mfano; Uganda inazalisha Mafuta lakini katika orodha yako inaonyesha hakuna uzalishaji wa mafuta.
Isitosha population ya kenya si 45 milioni.
Povu la nini? Tuwekee basi hapa hizo takwimu zako tuzione!
 
Ninyi leteni dharau tu lakini ipo siku mtalikumbuka hata hilo mnalolibeza. Kikubwa ni kuangalia hata kama ni la mwisho je kumewahi kutokea nchi nyingine ikatuvamia kirahisi? Je kuna vitu jeshi letu limepigana likashindwa? Mnakazi ya kujidharau wenyewe
 
Akili za bangi na kinyesi kikavu kulidharau jeshi letu yaani kila kitu ni upinzani tu hata kwa JWTZ hivi mnalijua vizuri jeshi hili? Mnalijua linavyoheshimika barani Afrika? Vitu vingine ni us..n.g kuvipost humu
 
Kulijua jeshi la Tanzania ni vigumu sana kwa sababu si jeshi ambalo linapenda kuweka mambo yake hadharani. Na hii ndio inayochangia kwa kiasi kikubwa nchi yetu kuwa salama. Kwenye hilo suala la kutumika kisiasa nadhani haupo sahihi hata kidogo, jeshi letu lina nidhamu sana na wala halifungamani na upande wowote kisiasa.

Siri gani wakati tuliambiwa kuna Luteni Kanali Mnyarwanda aliyekuwa kwenye kitengo muhimu cha IT alitoroka na mafaili yote?
 
Sidhani kama baadhi ya wachangiaji wanaonyesha dharau kwa Jewi ni sahihi,hata mimi bado nina mashaka ya hizi takwimu najaribu kuchimba zaidi nione kama nitapata taarifa tafauti na hizi. Kuliponda/kulidharau Jeshi letu kwa takwimu hizi si sawa.
 
Akili za bangi na kinyesi kikavu kulidharau jeshi letu yaani kila kitu ni upinzani tu hata kwa JWTZ hivi mnalijua vizuri jeshi hili? Mnalijua linavyoheshimika barani Afrika? Vitu vingine ni us..n.g kuvipost humu
Sasa hadi Mkuu wa majeshi anafichwa haonekani, hilo ni jeshi la kusifiwa kweli?
 
Naliamini sana Jeshi letu hapo ccm ndio sehemu ambayo hawajaharibu sana.jeshi letu lipo kamili though hawana vifaa vya kisasa.Maana kununua izo ndege za kivita au makombora ni ghali sana na kuyatunza pia..
 
Sasa hadi Mkuu wa majeshi anafichwa haonekani, hilo ni jeshi la kusifiwa kweli?
YAANI WEWE NI PUMBAVU KABISA MKUU WA MAJESHI UNATAKA AANIKWE JUANI AU ALETWE KWA BABA YAKO NDIYO UJUE YUPO UMEENDA OFISINI KWAKE UMEMKOSA MJINGA WEWE? AU UNAFIKIRI HUYO NI LOWASA WA KUJIANIKA KILA SIKU KWENYE VYOMBO VYA HABARI?
 
k
1. Egypt, PowerIndex: 0.6214


Total Population: 86,895,099
Fit for service: 35,305,381
Active Frontline Personnel: 468,500
Total Aircraft: 1,107
Total Naval Strength: 245
Oil Production: 680,500 barrels per day
Oil Consumption: 820,000 barrels per day
Defense Budget: $4.4 billion US
Serviceable Airports: 83
Land Area: 1,001,450 square kilometers
Coastline: 2,450 kilometers




2. Algeria, PowerIndex: 0.8695
is


Total Population:38,813,722

Fit for service:17,249, 199
Active Frontline Personnel: 512,000
Total Aircraft: 448
Total Naval Strength: 60
Oil Production: 1,900,000 barrels per day
Oil Consumption: 320,000 barrels per day
Defense Budget: $10.57 billion US
Serviceable Airports: 157
Land Area: 2,381,741 square kilometers
Coastline: 998 kilometers




3. South Africa, PowerIndex: 0.9233
is


Total Population: 48,375,645
Fit for Service: 14,093,327
Active Frontline Personnel: 88,565
Total Aircraft: 209
Total Naval Strength: 30
Oil Production: 192,000 barrels per day
Oil Consumption: 591,000 barrels per day
Defense Budget: $4.61 billion US
Serviceable Airports: 566
Land Area: 1,219,090 square kilometers
Coastline: 2,798 kilometers




4. Nigeria, PowerIndex: 1.1597
is


Total Population: 177,155,754
Fit for Service: 40,707,659
Active Frontline Personnel: 130,000
Total Aircraft: 98
Total Naval Strength: 75
Oil Production: 2,525,000 barrels per day
Oil Consumption: 280,000 barrels per day
Defense Budget: $2.33 billion US
Serviceable Airports: 54
Land Area: 923,768 square kilometers
Coastline: 853 kilometers




5. Ethiopia, PowerIndex: 1.2009
is



Total Population: 96,633,458
Fit for Service: 24,757,344
Active Frontline Personnel: 182,500
Total Aircraft: 81
Oil Production: 100 barrels per day
Oil Consumption: 52,000 barrels per day
Serviceable Airports: 57
Defense Budget: $340 million US
Land Area: 1,104,300 square kilometers




6. Morocco, PowerIndex: 1.2431
is


Total Population: 32,987,206
Fit for Service: 14,403,061
Active Frontline Personnel: 195,800
Total Aircraft: 282
Total Naval Strength: 121
Oil Production: 5,057 barrels per day
Oil Consumption: 210,000 barrels per day
Defense budget: $3.4 billion US
Serviceable Airports: 55
Land area: 446,550 square kilometers
Coastline: 2362 kilometers




7. Tunisia, PowerIndex: 1.4449
is



Total Population: 10,937,521
Fit for Service: 4,881,813
Active Frontline Personnel: 40,500
Total Aircraft: 138
Total Naval Strength: 50
Oil Production: 91,500 barrels per day
Oil Consumption: 90,000 barrels per day
Defense Budget: $550 million US
Serviceable Airports: 29
Land Area: 163,610 square kilometers
Coastline: 1,148 kilometers




8. Kenya, PowerIndex: 1.6835
is



Total Population: 45,010,056
Fit for Service: 12,468,138
Active Frontline Personnel: 24,120
Total Aircraft: 127
Total Naval Strength: 19
Oil Production: 0 barrels per day
Oil Consumption: 80,000 barrels per day
Defense Budget: $595 million US
Serviceable Airports: 197
Land Area: 580,367 square kilometers
Coastline: 536 kilometers




9. Angola PowerIndex: 1.8579
is


Total Population: 19,088,106
Fit for Service: 3,039,089
Active Frontline Personnel: 87,000
Total Aircraft: 269
Total Naval Strength: 55
Oil Production: 1,875,000 barrels per day
Oil Consumption: 80,000 barrels per day
Defense Budget: $4.15 billion US
Serviceable Airports: 176
Land Area: 1,246,700 square kilometers
Coastline: 1,600 kilometers




10. Niger, Power Index: 2.0079
is



Total Population: 17,466,172
Fit for Service: 4,413,986
Active Frontline Personnel: 5,300
Total Aircraft: 15
Oil Production: 20,000 barrels per day
Oil Consumption: 80,000 barrels per day
Defense Budget: $85 million US
Serviceable Airports: 30
Land Area: 1,267,000 square kilometers




11. Uganda, Power Index: 2.3122
is


Total Population: 35,918,915
Fit for Service: 8,513,969
Active Frontline Personnel: 45,000
Total Aircraft: 46
Oil Production: 0 barrels per day
Oil Consumption: 15,500 barrels per day
Defense Budget: $280 million US
Serviceable Airports: 47
Land Area: 241,038 square kilometers




12. Chad, Power Index: 2.3587
is



Total Population: 11,412,107
Fit for Service: 2,579,053
Active Frontline Personnel: 30,350
Total Aircraft: 34
Oil Production: 104,500 barrels per day
Oil Consumption: 125,000 barrels per day
Defense Budget: $120 million US
Serviceable Airports: 59
Land Area: 1,284,000 square kilometers




13. Zimbabwe, Power Index: 2.3968


Total Population: 13,771,721
Fit for Service: 3,174,207
Active Frontline Personnel: 29,000
Total Aircraft: 94
Oil Production: 120 barrels per day
Oil Consumption: 19,000 barrels per day
Defense Budget: $95 million
Serviceable Airports:
Land Area: 390,757 square kilometers




14. Ivory Coast, Power Index: 2.4641
is


Total Population: 22,848,945
Fit for Service: 6,556,120
Total Aircraft: 5
Total Naval Strength: 10
Oil Production: 40,000 barrels per day
Oil Consumption: 24,650 barrels per day
Defense budget: $440 million US
Serviceable Airports: 27
Land Area: 322,463 square kilometers
Coastline: 515 kilometers




15. DRC, Power Index: 2.4897
is


Total Population: 75,507,308
Fit for Service: 20,499,951
Active Frontline Personnel: 152,000
Total Aircraft: 42
Total Naval Strength: 20
Oil Production: 20,000 barrels per day
Oil Consumption: 15,000 barrels per day
Defense Budget: $162 million US
Serviceable Airports: 198
Land Area: 2,344,858 square kilometers
Coastline: 37 kilometer
kwa kutajwa rdc na kuachwa tanzania ujue ripoti hiyo ni propaganda ya watu fulani dhidi ya nchi fulani.
 
Ni heri kuonekana hauna kitu wakati una kitu..kuliko kuonekana unakitu wakati hauna kitu..I believe we have a tough army force....ni vyema ukamjua adui yako kwa undani kuliko akujuavyo yeye..
 
Back
Top Bottom