Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa but hamtakaa mlijue jeshi la wananchi wa Tanzania
Wala huja scroll haraka ni kweli JWTZ hawamo katika 15 bora na ndiyo mshangao wetu baadhi ya wanajamvi tunaochangia uzi huu.
Nimeangalia kwenye website Global Fire Power tupo nafasi ya 24!!!!
unajua report nyingine unazisoma na kuzipuuza tu,mana kuna nchi zimo kwenye hiyo list ila zinasaidiwa na nchi ambayo haimo kwenye list ndo nashangaa
Mkuu hata darasani unaweza ukashika namba moja katika somo lakini baadhi ya maswali kumbe ulisaidiwa
Bila shaka source ni wakenya..
Mbona kama changa la macho hilo,Nigeria wana janga la boko haramu na wamelishindwa nguvu yao ipi ?
Misri maandamano tu yanatosha kuwakimbiza masoldier,nguvu yao ipi ?
Kenya hata kulinda mipaka ya nchi shida,hadi leo wanahangaika kuwafurumua al shabab,nguvu yao ipi ?
JWTZ fanyeni kazi,tunawapenda sana na nyie ndio jeshi letu la ukweli,tunawaamini.
Wala huja scroll haraka ni kweli JWTZ hawamo katika 15 bora na ndiyo mshangao wetu baadhi ya wanajamvi tunaochangia uzi huu.
Nimeangalia kwenye website Global Fire Power tupo nafasi ya 24!!!!
Pole sana. kubalini tu yaishe!duh mbona uganda ilikamuliwa na tz halaf wpo kwnye list na tz haipo?